Recent content by Mzee kifimbo cheza

  1. Mzee kifimbo cheza

    Naomba ushauri, mke wangu amedukua whatsapp yangu

    Hapo saaaasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Mzee kifimbo cheza

    Ninunue HP au dell

    Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Mzee kifimbo cheza

    Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

    Ni dhahiri mwenza wa rafiki yako ana matatizo lakini kumtuhumu Moja kwa moja kwamba anaingiliwa kinyume na maumbile si sawa. Mathalan wamejamiiana zaidi ya Mara Sita na hii ni Mara ya kwanza Jambo hili kutokea, ni vyema wakae wajadili kama wapenzi hivi vitu vinaongeleka Kama mnapendana kwa...
  4. Mzee kifimbo cheza

    Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

    Ndizi roast kitimoto na Pepsi bariidiii
  5. Mzee kifimbo cheza

    Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

    Makinikia ni nn mjukuu Wangu.
  6. Mzee kifimbo cheza

    Msaada please

    Activate Internet download Manager kwenye computer Yako mjukuu wangu
  7. Mzee kifimbo cheza

    Website mpya wa watu wa IT

    www.complexsystem.net Idea ya huyu mjukuu wangu inafanana sana na idea ya hawa vijana. Nafkiri ni jambo jema kuwapa support kwa kile walichokianzisha miaka kadhaa ilopita.
  8. Mzee kifimbo cheza

    Halotel huu ni wizi

    Mjukuu wangu ingekuwa busara kujua kinagha ubaga vigezo na Masharti ya huduma husika. Kabla hata hujakubali kujiunga nayo. Usipende kukopa kopa tu na kulalamika Bila kujua haswa Masharti ya huduma. "Bure aghali" tulishasema wahenga
  9. Mzee kifimbo cheza

    Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    Pole mjukuu wangu Baki kimya tu kama Mimi babu yako mwenye ki Huawei [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. Mzee kifimbo cheza

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Halafu ndo iweje kwa Mfano?? Msiwanyime Rizki wajukuu zangu
  11. Mzee kifimbo cheza

    APPS ZIPI KWENYE SMART PHONES ZINAZOTAMBUA UWEPO WA TORCH ZA TRAFFIC POLICE

    Hatari sana ila muendeshe kwa usalama jamii inayowazunguka bado inawategemea
  12. Mzee kifimbo cheza

    Naombeni msaada kuhusu hili tatizo

    Jaribu kucheck firewall settings katika computer yako
  13. Mzee kifimbo cheza

    msaada wa product key ya window 7 professional

    Hujambo mjukuu wangu? Pita hapa utajipatia keys zoote unazohtaj Microsoft Windows XP, 7/Vista, 8 Serial/Activation Keys Lakini option ya pili unaweza tafta software kama window seven loader au Remove WAT pia humaliza kwa haraka tatizo hilo Babu Kifimbo Cheza
  14. Mzee kifimbo cheza

    Swahili based programming screencasts

    Wazo zuri sana Mjukuu wangu. Hongera sana
Back
Top Bottom