rugberna97
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 147
- 126
Kwa muda mrefu natumia hii PC lakini tangu Jana siwezi download kitu kila nikijaribu naletewa ujumbe huu"INTERNET DOWNLOAD MANAGER HAS NOT BEEN REGISTERED............"nifanye nini wakuu kwa anayejua tafadhali