Salaam wanaJF,
Leo mida ya asubuhi nimekuwepo central kufuatilia namna ya kumdhamini mfanyakazi mwenzangu aliekamatwa Kwa kesi ya madai.
Sasa nimepeleka barua ya kumdhamini toka Kwa Afisa mtendaji.
Kilichofuata hapo nikaanza kuzungushwa ili mradi nitoe fedha jamaa angu aachiwe wakati dhamana...
Kweli hali ni mbaya mi nna madeni lukuki na kazini kulipwa magumashi,nlitaka nifungue business ndogo tra wakanitolea macho kodi nimeshindwa,kiufupi serikali ya Pombe Magufuli imekuja kuaharibu maisha ya watu
Kichwa cha habari chahusika
Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital
Kimsingi hospital ni sehemu ya kupeana faraja sasa linapokuja suala la kukaguana ovyo ovyo kana kwamba mtu amebeba madawa ya kulevya...
Wakuu dakika 5 zilizopita ,kuna tetemeko dogo la ardhi limepita mjini Kati mwanza hapa
Ghorofa nliyopo limetetemeka kiaiana na wafanyakazi kuingiwa na hofu
Sijui ndugu zetu Bukoba wamepona manake ukiona tetemeko mwanza basi jua limetokea Bukoba
Tujuzane wana BK mpo salamaa au mwafwaaaa
Naona watu leo wanashangilia Sana ripoti ya mchanga wa madini na kuona kwamba JPM ni mzalendo kweli kweli
Lakini nionavyo wizi wote wa Mali ya umma ,dhuluma yote ya Mali za umma ni uzao wa CCM na tawala zake
Suala la madini lilishapigiwa sana kelele na upinzani mikataba iangaliwe upya...
Huwa najiuliza inakuaje mkuu JPM tangu aingie madarakani rafiki zake ni maraisi wenye skendo mbovu katika nchi zao,karibu viongozi wote wakuu wa nchi waliotembelea bongo wanaskendo mbovu katika nchi zao
1.Kagame ana skendo ya kuminya demokrasia na Uhuru Kwa wapinzani nchini kwake
2.Mfalme wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.