Recent content by mzaziaged

  1. mzaziaged

    Nahitaji mtungi wa gesi ya kupikia mkubwa used

    Kama unayo nitajie unauza ngapi
  2. mzaziaged

    Nahitaji mtungi wa gesi ya kupikia mkubwa used

    Nahitaji mtungi wa gesi ya mihang au orxy hapa dsm used kwa bei chee. Mtungi mkubwa. Kwa alionao nipm tufanye business
  3. mzaziaged

    Nauza laini za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    Waulize tigo kama inafaa
  4. mzaziaged

    Nauza laini za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    Nipm nikuuzie laini ya kwa bei raisi laki laki tu kila moja
  5. mzaziaged

    Udini na Siasa Vyaitafuna Mbeya City

    Amavubi unaweza kuwa sahihi kabisa kwani baada ya yule mama sijui anaitwa mama mwanjelwa wa ccm kusema mbeya city ni timu ya ccm kwani inahudumiwa na manispaa imewakera sana watu wengi waliokuwa wanaitakia mema na michango mbeya city. Ni ukweli usiopingika kuwa ccm haina mashiko kwa baadhi ya...
  6. mzaziaged

    Mwanaume alivyoumbuliwa

    Jf inapoteza mvuto kila kukicha. Hawa wanafunzi wanaojiandaa kuanza first year ndio tunawategemea kuandika thread.?. Enzi za jf watu walitumia logic sana kundika hapa kimsingi sijaona mantiki hapa. Sasa jamaa dada kapaki anacheka na mume wake ndio nn
  7. mzaziaged

    DSTV waja na kifurushi kipya kwa bei poa!

    Decoda za HDMI zimeingia?
  8. mzaziaged

    Tabia za wenye magari

    Ambao hawana magari......kazi yao ni kukosoa wenye nayo
  9. mzaziaged

    Ubusy katika Mapezi

    Sema wewe ulishapanga kumpotezea ukaona kwake umekufa au huwez pata mwingine kama yeye. How com unashindwa kuwasiliana na mpenzi wako kwa mwezi mzima hata kama hakutafuti? Jipange usijilazimishie kwa mtu hata kma unampendaje jikaze hizi mambo zinatesa sana
  10. mzaziaged

    Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

    Ila gegedo litakua limetumika sana hata abortion itakua tayar
  11. mzaziaged

    Kwa tofauti hii hanipendi wala hanifai, aende zake

    Hii mbili huku mbele ni ya nini?
  12. mzaziaged

    Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

    Jana tuu nimetoka kusema wanaume wa hapa jf ni hewa
  13. mzaziaged

    Ushauri wangu kwa wanaume

    Just a socialisation😜😜😜😜😜😜😜😜😜
  14. mzaziaged

    Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

    Shukrani ya punda ni mateke. Ukiona mshahara hautoshi nenda mahakamani au ukishindwa kabisa hama nenda media nyingine inayolipa vizuri instead of holding A then opt for B au sio
Back
Top Bottom