Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,276
- 108,282
Mbona mkali best?
Bidada kavurugwa ujue!!!!
Ukali wangu u wapi hapo best?
Aende SUA akamuulize huyo mpenzi wake na kama kuna ubusy wowote atajua huko...
Mbona mkali best?
Bidada kavurugwa ujue!!!!
unaonesha your still so young yan mpaka nakuhonea huruma.....
Inawezekana ana mchepuko chuon
Ukali wangu u wapi hapo best?
Aende SUA akamuulize huyo mpenzi wake na kama kuna ubusy wowote atajua huko...
Ila hakuna ubusy uliozidi kupita kiasi tena kwa hao wanafunzi wa chuo anakosaje mda wa kumjibu mwenzake
Ana sound like bint mdogo sana ambaye hawezi kuchukua maamuzi hayo bila kupewa ruhusa na baby yake!!!
Mmmh inawezekana.
hapo chacha!!!..huyo ana anayemuweka bize hapo varsity....tena amenikumbusha kaupepo Ka kuleeeeeeee uwanjani mpaka raha yan SUA dah enzi hizooooo na aliekuwa my beibeeeee the so called Elfas ...may God bless u wherever you are..
Ana sound like bint mdogo sana ambaye hawezi kuchukua maamuzi hayo bila kupewa ruhusa na baby yake!!!
unaonesha your still so young yan mpaka nakuhonea huruma.....
Hahahaha et ka upepo.....sasa unanrusha roho?haya bhana
pretence tu ndg. Uskute kakomaa mpaka vigimbi..
hapo chacha!!!..huyo ana anayemuweka bize hapo varsity....tena amenikumbusha kaupepo Ka kuleeeeeeee uwanjani mpaka raha yan SUA dah enzi hizooooo na aliekuwa my beibeeeee the so called Elfas ...may God bless u wherever you are..
Ngoja wenzake wamsaidie labda ndio ufahamu utamjia...
Mapenzi ya chuoni umiza kichwa,ukiachwa unamwona akikatiza na mwingine,he he he tulizinguana na mi nikawa na mwingine,naosheaje mbele yake,kukomoana haswaaaaaa!