Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
kwanini alikula??!!!cha mtu huliwa na mtu, chuma tu ndo kinaliwa na kutu....!!!!
hakuna cha mume wala mke hapa...hawa wote ni matapeli tu na iko siku huu us******ge wao utamtokea m@k@|!on!
Wote wehu kuanzia mke had mume
Huyo dada amejitengenezea mazingira magumu. Watoto wa kihuni wanaweza kufanya yao, huwezi jua jamaa alikuwa anawaza nini kichwani baada ya hiyo aibu. Dada hajielewi huyo.
Sidhani kama unayoyasema yana ukweli dada yangu,.....huwezi kuishi bila interactions zozote na watu. kosa langu nikutoa taarifa humu JF?hata mtoa mada nae mwehu vile vile ameacha kaz zake kushangaa upuuzi huu
Sidhani kama unayoyasema yana ukweli dada yangu,.....huwezi kuishi bila interactions zozote na watu. kosa langu nikutoa taarifa humu JF?
Haya nayaheshimu mawazo yakoUngekwenda polisi
Kosa kidogo bonge la lawama. JF ni ya watu wote bora tu ajue kusoma na kuandika. kumbuka kuwa typing error siyo ushahidi wa elimu ya mtu.Jf inapoteza mvuto kila kukicha. Hawa wanafunzi wanaojiandaa kuanza first year ndio tunawategemea kuandika thread.?. Enzi za jf watu walitumia logic sana kundika hapa kimsingi sijaona mantiki hapa. Sasa jamaa dada kapaki anacheka na mume wake ndio nn
Tehe! tehe! tehe!...Jamaa angewatongoza wote, kama vipi