Recent content by Mzawa11

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa Dar tu ndiyo wanasakamwa?

    WALUGA LUGA MNA TABU SANAA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahusika mtandao wa Tigo acheni wizi

    Wanatuchukulia Mabwegee Ukiweka Jero na ikikaa Nusu Saa Tuu 150 Haipo ! Wakifanya Hvi Kwa watu 1000 Washatufanya Zaidi Ya Mitaji #ShenzZaoo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

    Duh !! Yan watu kime Wauma Diamond kwenda Kuperfom Kukiko Taifa Starz Kukosa Kushiriki. Mpira Hatuuuwez Na daima itakuwa hvyo hvyoo !!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukifikiria hzi tmu unaweza kutamani kulia hvi liver Wakuto kupata goli mojaaa Mik*&* yao kokote huko walipoooo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

    Kwan Mpira Nin ? Na Muziki Nin ?? Zote Mbona Burudan We Unaeona Haviendani ila Waandaji wameona vinaendana !! hate z Such A weak emotion !
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

    CHUKI MBAYAA SANAA !!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yan Barrow Washenzii Mnooo halaf nimewatia mikeka wenzie toka dk za 50 zishatik ila huyu kashatia Nuksiiii aaarghh
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la uhakiki watumishi litaisha lini?

    Wa2 Wengine Wanatamani Hata kulia Uki Mkosoaa Mtukuf Waoo Ni Bora Ukaachana Nae
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liver Kaondoka Na Taifaa !
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WADAU WANG MI NASHANGAA SANA HAYA MAKAMPUNI YA ONLINE BETTING NA HISI WANA KAUTAPELI CHA CHINI JANA NAKUMBUKA NILIWEKA BUKU 2 MERIDIAN NKAONA PATUPU WAKAT NASIKILIZIA NIKAINGIA HUMU NIKAONA KUNA WADAU WANALALAMIKA SI CHINI YA WAWIL KWAMBA WAMEWEKA PESA LAKN HAWAZION NA WENGINE HAWA MKEKABET LEO...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

    MIRADI YENYEW KIBAO YA MISAADA NA YA MIKOPO !! EMBU NA WW LETA FACTS TUONE KAMA KWELI SERIKALI HAIJAFILISIKA KUBANA MATUMIZI KUMBE PESA HAKUNAAA
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

    Kabla Mtu Hujachangia Ni Bora Ukaangalie Ile Video Ya performance yak halaf ndo uje hapa Ku comment !! NDO UTAJUA KILICHOANDIKWA HAPA NI PUMBAAA TU !!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah Wengne tumeweka 3+
  14. M

    JamiiForums Tanzania Alikiba ashinda tuzo Ufaransa, awabwaga Davido, Sarkodie, Yemi Alade na wengine

    Wabongo Hadi Kombe la Dunia lingekuwa linapigiwa Kura Tungeshindaaa !
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kufanya msako nchi nzima kwa waajiri sugu wasiowasilisha makato na majina ya wadaiwa

    Hzo Fedha Zinaweza Pelekwa Kujengeaa BaraBaraa !!
Back
Top Bottom