Kiukweli, Diamond ni mweupe sana jukwaani

Kweli tofaut mwanamuziki huwa ni kipaji na msanii huwa ni jitiada japo kwa dunia ya sasa jitiada ndio inayoitajika unaweza ukawa na kipaji ukawaboya sio tu kwenye mziki hata kwenye mambo mengine kwa mfano mpira wa miguu kuna watu kama lampad, roony, cr 7, hao wote ni jitiada zao bila kuna wakina Nani, balotel, Hinyi ni vipaj ila ovyo kabisa
Hapo kwenye vipaji umewasahau messi, Iniesta,gaucho,okocha Pogba n.k, Vipi hao shughuli zao!?
 
Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.

Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.

Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Ww ni mgonjwa na kilaza
Katu ya wale 4 ww upo

Mondi kapiga bonge la shoo
 
Kwan lazima we ucheze wakati unaimba?kama una wamenguaji kwa nn usiimbe ukawa unafuatilia style za wamenguaji wako mdogo mdogo? Halaf pale vyombo vinapochanganya ndio unaungana nao moja kwa moja?uimbe wewe,ucheze wewe,uwaimbishe watu wewe,uwapigie wat makelele wewe,Lazma ubume kama movie za kibongo kila kitu anashika producer, imba wacha wamenguaji wacheze pale vyombo vinakolea au unasubiri kibwagizo unayarudi mangoma kama kawa
 
Namshauri afanyie kazi challenge ili aimarike zaidi, Maana anawapa watanzania wengi ajira, kuanzia blogs, magazeti, mashabiki na page zao, mafundi mitambo na wengine wengi!!!
Ni kweli kabisa kinachosemwa,
me namshauri kucheza awaachie dancers, acheze wakati CD ipo Bridge kama akina Chriss Brown ! Lakini Cd ikianza kuimba ajitahidi kuangalia au kukontrol sauti yake,
Diamond na wasanii wengine siyo wa kupuuzwa wamejitahidi kutengeneza Ajira kwa Vijana wa kitanzania, tuwape sapoti!
Diamond, Alikiba, VMoney, Weusi, Navykenzo na wengine wengi!
 
Nani anaweza kukimbia uku akiongea? Kama unaweza kukimbia na kuongea wakati mmoja,utakua sahihi kumkosoa Diamond.
Wewe watu tumekimbia cross country km 72 na beet miguu na song kama kalipika p funk majan

Sembuse mond mtu akiwa underperform tukubali arekebishwe sio u team hatujeng bali tunawatia ujinga tu wasanii wetu
 
Wewe watu tumekimbia cross country km 72 na beet miguu na song kama kalipika p funk majan

Sembuse mond mtu akiwa underperform tukubali arekebishwe sio u team hatujeng bali tunawatia ujinga tu wasanii wetu

Mkuu soma ulichokiandika kwanza.
 
Yaan Tz tumezid unafki huyu mbweha asidanganye watu hiv nan aliperform kama diamond ile siku we mtoto wa kiume punguza ubitc*
 
Kabla Mtu Hujachangia Ni Bora Ukaangalie Ile Video Ya performance yak halaf ndo uje hapa Ku comment !! NDO UTAJUA KILICHOANDIKWA HAPA NI PUMBAAA TU !!
 
Mr Flavour kama sijakosea jina lake duh yule jamaa alipiga show classic sana tena live na alikua anacheza pia nahisi Diamond alipanick flani ivi ndio maana show yake ikawa ya kawaida mno pia nilishangaa alipoimba Na na kwa nini jamaa Mr Flavour hakuja wakati alikuwepo ila jamaa aliweza ku-team up na Yemi au maslahi ila simply lile jukwaa litamsaidia kumtangaza zaidi.
 
Mimi sikuandika kwa nia ya kupambana na yeyote
Watu wanashindwa kumwambia ukweli. Ni kitu kizuri mtu kuyatambua mapungufu na kuyafanyia kazi ili kuboresha huduma yako kwa walaji (watazamaji na washangiliaji). Heko sana kwa kuliona hilo na kumuelekeza. Sijui kama watu wake wa karibu watamfahamisha mapungufu yake.
 
Basi tuko sawa mi mwenyewe namkubali always na kila june 25 nampa shout out kwenye whatsapp yangu
Mi nina Documentary yake, huwa inanifanya nizidi kumpenda Michael

He was genius, on stage...

Vile vile alikuwa ana roho nzuri sana jamaa...

Na ndio maana watu walikuwa wanadata sana!
 
Back
Top Bottom