Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

Sasa kama imeweza kulipa mishahara ni tafsr nzuri kuwa haijafilika. Hv inawezkanaje uwe umefrska alafu ulipe mishahara ya watumish wote tena mapema
Ila hii reasoning ya uwezo wa kulipa mishahara wafanyakazi kuwa kigezo cha uchumi mzuri ni very poor reasoning.

Hata kwa tafsiri ya kienyeji tu kama ulikuwa na nyumba 10, malori 50, viwanda 4 halafu baadaye ukabakia na nyumba moja, malori 2; wewe umefilisika hata kama kila siku una uwezo wa kulisha familia yako chochote ipendacho. Kufilisika au kutajirika kwa tafsiri rahisi ni hali ya ulinganifu. Ulikuwa na nini na sasa una nini? Kuna watu watu wamejaribu kuweka absolute definition lakini kufilisika ni hali ya ulinganifu - zamani ulikuwa na nini, na sasa una nini.
 
wapee wapeeee vidonge vyao ............. hawa UKAWA tuwaacheni tuu jamani. wao wanasubiri nchi yao na raisi wao Lowasa ndio watakuwa wanasifia, lakini kwa hii ya JPM wako radhi waende Ulaya kutuombea shari ili tukwame wapate cha kusema. Sasa sijui waliambiwa riziki iko Ulaya tuu.? Yaani wao badala wapande juu mbinguni kwa Mungu wakazibe, eti wao wanaenda kwa mzungu. akili za UKAWA bana zinawatosha wao tuu. Wameenda Ulaya kutupakazia mbovu, halafu Mchina kaja hapa na kapu la viwanda takribani 20 hivi.

Basi UKAWA wamenunaje.! Wanajiharishia utadhani wamekutana na simba porini.
Taarab unaijua kweli....nakushangaa bado Ni masikini wakati Mzee Yusufu katajirika kwa fani hiyo
 
Asante kwa kutambua kipaji changu mkuu, ngoja nitafanyia kazi ushauri wako. No wonder i am a hidden millionare.
 
Hana data hata moja. Sijui unpata wapi ujasiri wa kuwashoot wasiojuauchumi wakati wewe mwenyewe huujui. Yaani kwa akili yako serikali kazi yake ni kulipa mishahara tu na kukopesheka? Too low kwa kweli
Ww unayo?

~Cmb
 
wapee wapeeee vidonge vyao ............. hawa UKAWA tuwaacheni tuu jamani. wao wanasubiri nchi yao na raisi wao Lowasa ndio watakuwa wanasifia, lakini kwa hii ya JPM wako radhi waende Ulaya kutuombea shari ili tukwame wapate cha kusema. Sasa sijui waliambiwa riziki iko Ulaya tuu.? Yaani wao badala wapande juu mbinguni kwa Mungu wakazibe, eti wao wanaenda kwa mzungu. akili za UKAWA bana zinawatosha wao tuu. Wameenda Ulaya kutupakazia mbovu, halafu Mchina kaja hapa na kapu la viwanda takribani 20 hivi.

Basi UKAWA wamenunaje.! Wanajiharishia utadhani wamekutana na simba porini.
Kwn Lowasa n nani nchi hii? Ana nn? Ana cheo gni cha kutetemesha watu? Tuondoleeni UPUMBAVU hpa!!

~Cmb
 
Hana data hata moja. Sijui unpata wapi ujasiri wa kuwashoot wasiojuauchumi wakati wewe mwenyewe huujui. Yaani kwa akili yako serikali kazi yake ni kulipa mishahara tu na kukopesheka? Too low kwa kweli
Usinidharau pasipo kujibu hoja bora kukaa kimya kuliko kuandika maana mimi nimeandika maana hiyo ndio elim yangu kiufupi utaalam wangu ni uchumi sasa pinga kwa hoja ila uwo ndio ukweli serikali imefilisikaje wakati mambo yanaendelea vuzuri. Nenda Zimbabwe, au Greece ndipo utajuwa waasisi wa mada serikali imefilisika hawana hata nucta ya uchumi ktk elim yao.
 
mkuu,mimi kwa kweli sijui uchumi, lakini mfano mtu una madeni,halafu inafikia pahala ili uweze kulipa hayo madeni inabidi ukope tena na tena,kwa maana nyingine unaingia kwenye madeni zaidi.
hapo tukisema huyo mtu ni sawa na kuwa amefilisika tutakuwa tumekosea?
kauli ya eti tunakopesheka sio sifa. sifa ni kusema tuna uwezo wa kulipa na hatutakopa tena.
 
MIRADI YENYEW KIBAO YA MISAADA NA YA MIKOPO !!
EMBU NA WW LETA FACTS TUONE KAMA KWELI SERIKALI HAIJAFILISIKA
KUBANA MATUMIZI KUMBE PESA HAKUNAAA
 
Usinidharau pasipo kujibu hoja bora kukaa kimya kuliko kuandika maana mimi nimeandika maana hiyo ndio elim yangu kiufupi utaalam wangu ni uchumi sasa pinga kwa hoja ila uwo ndio ukweli serikali imefilisikaje wakati mambo yanaendelea vuzuri. Nenda Zimbabwe, au Greece ndipo utajuwa waasisi wa mada serikali imefilisika hawana hata nucta ya uchumi ktk elim yao.
Wewe inawezekana umesoma masomo ya uchumi lakini siyo mtaalam wa uchumi. Inawezekana serikali haijafilisika lakini hoja zako ni dhaifu mno. Ulizozitoa haziwezi kutolewa na mtaalam wa uchumi. Ni hoja za mitaani.
 
wapee wapeeee vidonge vyao ............. hawa UKAWA tuwaacheni tuu jamani. wao wanasubiri nchi yao na raisi wao Lowasa ndio watakuwa wanasifia, lakini kwa hii ya JPM wako radhi waende Ulaya kutuombea shari ili tukwame wapate cha kusema. Sasa sijui waliambiwa riziki iko Ulaya tuu.? Yaani wao badala wapande juu mbinguni kwa Mungu wakazibe, eti wao wanaenda kwa mzungu. akili za UKAWA bana zinawatosha wao tuu. Wameenda Ulaya kutupakazia mbovu, halafu Mchina kaja hapa na kapu la viwanda takribani 20 hivi.

Basi UKAWA wamenunaje.! Wanajiharishia utadhani wamekutana na simba porini.
hao wachina si wanakuja tu kujenga viwanda vya bidhaa zao mbovu ambazo hazipati soko kwenye nchi za wajanja. sisi wametuona mafala wa kutufanya jalala lao.
 
Napata shida sana kusoma habari zenye vichwa vya habari serikali imefiliska hivi wanajuwa maana ya serikali kufilisika au ndio zile siasa za kuchafuwana?

Naomba kwanza kabla yakuandika chochote niwajuze tuu kwa ufupi hili taifa litafilisiki labda Mungu ashushe moto ukaushe kila rasilimali ya taifa hili na pia dhahabu na mafuta uko ardhini. Ila kiujumla jumla hivi hilitaifa kamwe halitofilisika.

Labda niwaulize tu hivi hii serikali imeshindwa wapi kulipa madeni yake ndipo tuanze hizi kelele kwenye mitandao na kumfanya huyu Rais hajuwi kile serikali yake inafanya? Semeni nitaifa gani duniani au bank inatudai na serikaki imeshindwa kulipa hilo deni au ni yale maden hewa Mh kayapotezea yanawauma. Tuseme ukweli na huu ukweli utatuweka huru.

Haya embu niambie Dec2016 yupo mfanyakazi ajalipwa mshahara maana ikiwa serikali inalipa mishahara huwezi sema hazina imefilisika tukumbuke Issue ya Ugirik serikali ilishindwa lipa deni lake ikafika mahali hata mishahara sasa kwa hapa Tz mmetumia measure gani kupima kuwa serikali haina pesa? Semeni kweli na Mungu awaponye hili nitaifa tusiandike ujinga humu just kwakuwa tunaham yakuandika leteni facts.

Last je kama taifa hatukopesheki? Kiuhalisia tunakopesheka mara elfu sema hekima inatumika kuchukua mikopo ili tusiwatwike zigo kubwa walipa Kodi.

Jamani Tanzania yangu umemkosa nini Mungu mpaka ukazaa watu wasio na uzalendo na taifa lao? Hii ni aibu kwakweli. Poleni manao ibeza serikali ya Magufuli. Mtaaibika asubuhi kweupe.

Wewe utakua NI Maguful umeingia humu kutuaminisha haya mambo ya serikal yako.
CCM dawa yenu ipo jikon,Maguful ameshafeli ndan ya hii miaka 5 hii ,any honest human analiona hili ,unatuandikia non sense hapa ,but the truth is demonstrable ,just believe your own eyes .Maguful si tumain tena ,NI gari lililokatika stelling.
 
wapee wapeeee vidonge vyao ............. hawa UKAWA tuwaacheni tuu jamani. wao wanasubiri nchi yao na raisi wao Lowasa ndio watakuwa wanasifia, lakini kwa hii ya JPM wako radhi waende Ulaya kutuombea shari ili tukwame wapate cha kusema. Sasa sijui waliambiwa riziki iko Ulaya tuu.? Yaani wao badala wapande juu mbinguni kwa Mungu wakazibe, eti wao wanaenda kwa mzungu. akili za UKAWA bana zinawatosha wao tuu. Wameenda Ulaya kutupakazia mbovu, halafu Mchina kaja hapa na kapu la viwanda takribani 20 hivi.

Basi UKAWA wamenunaje.! Wanajiharishia utadhani wamekutana na simba porini.
Kweli mcina kaka kaja ma kapu LA viwanda ishirini hii Neema iliyoje..viko wapi sasa au ahadi tu kama za awamu zilizopita ambazo hazijatekelezwa. Tafadhali naomba kujua maana Nina ndugu hapa na jamaa wanasaka ajira balaa. Pia nijue ni viwanda vya aina gani kaka. Asante sana kwa majibu yako mujarabu nayasubiria..
 
Back
Top Bottom