Recent content by mzalendowaukwel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Walimu Olympio wabuni mbinu mpya kupata pesa

    Ama kwa hakika elimu bure ni changamoto kubwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    :eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows: yetu macho tu. tunasubiri hiyo jumamosi tuone itavyokuwa mi ntaswitch ITV mapeemaaaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba,kwanini unatulazimisha kusoma kitabu chako?

    Hana jipya :shock::shock::shock::shock:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa na vifaa vya milipuko jijini Dar es Salaam - hali inaogopesha!

    hebu acheni kukatisha askari tamaa, hivi wewe ni mtanzania kweli mwenye mapnz na nchi yako? sasa unashabikia milipuko as if ni ki2 cha kawaida. sometimes mjifunze ku-appreciate kazi za police sio kuponda kila jambo....nadhani nimeelewka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo latest iPaid, acha hizo zenu iPod, iPad...

    hahahaaaaa, hiyo kali aisee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa pete ya ndoa kidoleni muda wote?

    pete ina umuhimu wake, kama umeoa au kuolewa kwa bila shinikizo huwezi kuogopa kuivaa hata mara moja. ila kam umeolewa/oa kwa push ya watu wengine then u will feel ashamed kuwa nayo mkononi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa pete ya ndoa kidoleni muda wote?

    pete ina umuhimu wake, kama umeoa au kuolewa kwa bila shinikizo huwezi kuogopa kuivaa hata mara moja. ila kam umeolewa/oa kwa push ya watu wengine then u will feel ashamed kuwa nayo mkononi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais amwita wema kwake

    hawa watu waache kuchezea neno rais
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Pinda wala hana miaka 70+....alishawahi kusema kuwa by 2015 atakuwa na miaka 67+
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Maadili ya Viongozi - The Joke and the Joker!

    :lol::lol:Sioni kazi wanafanya coz ndio kwanza watu wanazidi kujilimbikizia mali:lol::lol:
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta anafungasha mizigo yake akitaka kuondoka!

    Ni vema kukaa na kuzungumza pale mnapotofautiana. Ni hatari sana kuweka mambo moyoni, ni sawa na kukaa na bomu ambalo laweza lipuka muda wowote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    wamtoe na shibuda ili chama kiwe safi zaidi
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

    Better not to be a follower of any political party..., zinatuchanganya
Back
Top Bottom