Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
hahahaaaaa, hiyo kali aisee
Hii nayo ni nyingine mkuu? Weka picha sasa...iBroke
iBroke
Mkuu Wilbert1974 hapo huelewi nini?! ... wewe si umezipanga Ipad, Imac ... (I .. sijui nini) na kuendelea .. sasa kama mtu hana hela ya kununulia hayo ma I .. I .. si yupo broke! ... kwa hiyo yupo iBrokeHii nayo ni nyingine mkuu? Weka picha sasa...
Usiharibu jina lake ni hivi "iPaid"I paid lol!
Usiharibu jina lake ni hivi "iPaid"