kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-
Elimu Bora.
Miundombinu mfano barabara.
Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika
Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama
Huduma ya maji safi na...