Elections 2010 Alichofanya SITTA jimboni kwake....utata mtupu

mzalendo2010

Member
Oct 13, 2010
13
0
kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-

  • Elimu Bora.
  • Miundombinu mfano barabara.
  • Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika
  • Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama
  • Huduma ya maji safi na salama
  • Uchumi, kipato kuanzia ngazi ya kaya/familia
  • Kuboresha kilimo etc etc
Fungua kiambatanishi kuona anachowashuhudia wananchi wake kile alichokifanya kwa miaka mitano iliyopita.....Tanzania tunaelekea wapi?, je hakuna wachapa kazi wanaoweza kuleta mabadiliko hasa katika jimbo hili?
Hali imekuwa tofauti kwa Muheshimiwa SIX mbunge wa jimbo la Urambo mashariki, sera zake haziniingi akilini, nashangaa kwa nn wananchi wanaendelea kumkumbatia, Nimefanikiwa kufika Urambo, katika jimbo la huyu mheshimiwa, hali ni ya kutisha, ukizingatia kuwa hii wilaya ni miongoni mwa top three ya wilaya zinazoongoza kwa ukusanyaji wa mapato, cha ajabu miundombinu ni mibaya kuliko maelezo, maji ni tatizo,elimu hali kadhalika.....
 
Anachumia tumbo yule...
Fisadi mkubwa sana huyu bwana, anatumia uspika kum'comouflage!
 
Jamani hivi vichwa vya aina ya Mzee Sitta vimekuwa driving engine toka enzi zile na kwa kweli hawana namna ya kukwepa kwa Taifa kuwa hapa lilipo. Kama lipo pazuri well done na kama lipo pabaya pia wanastahili kulaumiwa.
Kwa maana hiyo basi we need a different kind of thinking pattern to get out of the hole we are now. That different thought, would required different people. Hawa hawa wanaozunguka wanaangusha mambo huku na huku hawana jawabu la matatizo tuliyonayo.
 
alikuwa na magari matatu ya serikali yakimhudumia yeye tu. Hata watoto wa nyumba ndogo ya kinondoni walipelkewa mashada ya maua kwenye graduataion na gari la serikali kutoka dar es salaam hadi iringi ilipo shule aliyokuwa akisoma mtoto wake wa nyumba ndogo. Fisadi mkubwa sana huyu!!!!!
 
na haya maofisi yaliyojengwa kwa ajili ya wabunge ,,, Slaa atafanyie uchunguzi.... Ni ghali sana...
 
kumbe hili zee lina mambo ya kijinga namna hii,sasa hizo ndo sifa za mtu kuwa mgombea bora..hili ***** nini??
 
Ivi iyo ofisi ya speaker akimaliza mda wake itahamishwa?
Does that mean kila speaker atakaekuja atakuwa akijenga ofisi kwa 500 mil.
Jamani huu si ufujaji wa ela ya umma
 
kwa uelewa wangu mdogo, ninaamini unapozungumzia maendeleo kwa nchi kama TZ, wananchi wanahitaji yafuatayo:-

  • Elimu Bora.
  • Miundombinu mfano barabara.
  • Afya bora, ujenzi wa vituo vya afya katika sehemu husika
  • Ajira, kutengeneza nafasi za ajira hasa kwa vijana na akina mama
  • Huduma ya maji safi na salama
  • Uchumi, kipato kuanzia ngazi ya kaya/familia
  • Kuboresha kilimo etc etc
Fungua kiambatanishi kuona anachowashuhudia wananchi wake kile alichokifanya kwa miaka mitano iliyopita.....Tanzania tunaelekea wapi?, je hakuna wachapa kazi wanaoweza kuleta mabadiliko hasa katika jimbo hili?
Hali imekuwa tofauti kwa Muheshimiwa SIX mbunge wa jimbo la Urambo mashariki, sera zake haziniingi akilini, nashangaa kwa nn wananchi wanaendelea kumkumbatia, Nimefanikiwa kufika Urambo, katika jimbo la huyu mheshimiwa, hali ni ya kutisha, ukizingatia kuwa hii wilaya ni miongoni mwa top three ya wilaya zinazoongoza kwa ukusanyaji wa mapato, cha ajabu miundombinu ni mibaya kuliko maelezo, maji ni tatizo,elimu hali kadhalika.....

Kama hivi ndivyo basi hakuna alichofanya kwa urambo licha ya kujipa sifa kwenye public.

Na sifa na 3 ya hilo tangazo la "kampeni" ni rushwa, maana kwa uelewa wangu anasaidia wanyonge kwa kuwapa elfu mbili, elfu moja akionana nao ili wakalewe na wampe kula.

Tanzania kuendelea ni ndoto kwa kizazi hiki cha watu wenye ulafi na ubinafsi wa hali ya juu
 
Jamani lakini hana kosa kwa sababu hii ndio kazi ya Wabunge wa Tanzania kama wajuavyo wananchi wengi. Kwa hiyo tunapolilia elimu ya Uraia kutolewa kwa wananchi na inapigwa vita inapaswa mjue - Habari ndio hiyo!...
 
Ukiona jengo lililogharim M500.....full usanii, lets vote for change, we are the change we have been waiting for, lets work up n uproot the SISIEM gang....wadau nipandishe picha za ofisi ya spika? This is more than ufisadi.
 
Urambo kuna wajinga wengi sana! Kijana wa urambo akiwa na kaduka, akanunua ka pikipiki-Sanlg ya mchina, basi na yeye anajiunga na Chama Cha Mafisadi. Huyu Sita jamani hata ndugu zake hawajali kabisa, hili zee lina roho mbaya sana jamani. Urambo hadi leo hakuna hata high school moja, limeshindwa kujenga barabara hata ya vumbi kutoka Tabora hadi Urambo. Yani halijafanya cha maana, hiyo ofisi ya spika inawasaidia nini watu wa Urambo? Saizi eti majitu yanalishabikia, ujinga mtupu.
 
urambo kuna wajinga wengi sana! Kijana wa urambo akiwa na kaduka, akanunua ka pikipiki-sanlg ya mchina, basi na yeye anajiunga na chama cha mafisadi. Huyu sita jamani hata ndugu zake hawajali kabisa, hili zee lina roho mbaya sana jamani. Urambo hadi leo hakuna hata high school moja, limeshindwa kujenga barabara hata ya vumbi kutoka tabora hadi urambo. Yani halijafanya cha maana, hiyo ofisi ya spika inawasaidia nini watu wa urambo? Saizi eti majitu yanalishabikia, ujinga mtupu.

nyinyi wooote mnaoponda humu ni $f...#$. Hamjui chochote mnachozungumza....wilaya gani tanzania hii ina maendeleo hayo mnayozungumzia nyie...badala ya kujenga hoja mnatukana tuu..ndio maana mmekalia kujificha humu na majina ya uongo. Tafuteni data nyie. Ofisi ya urambo ni ya mbunge na siyo ya spika. Mbunge yeyote wa urambo ataitumia hiyo sasa mlitaka ofisi ya mbunge ijengwe wapi?? Nyinyi wilayani kwenu mmepeleka maendeleo gani...kenge wenye vichwa vidogo
 
hivi KIFARU KAJERUHI NI JINA LA UKWELI???hivi unajua kuwa ofisi nyingi za wabunge zinakuwa zimefungwa karibia mwaka mzima??
 
Back
Top Bottom