Ooooh, p'se, dont make me jump with joy! Are you serious!!!!!:hippie::hippie::hippie:Kwa taarifa za awali nilizopata, sina figure kamili lakini ni kwamba mgombea wa CUF anaongoza kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano mkubwa CCM wakapoteza jimbo
Kutaka kujua anaelekeaelekea ndiko kunakoleta mkanganyiko. Kama kuelekeaelekea kila mgombea anaweza kuelekeaelekea ambako nako kunatofautiana kati ya kituo na kituo, kata na kata na hata jimbo kwa jimbo kwa mgombea urais.
Kwa nini inakuwa vigumu kusubiri matokea uchaguzi uliosubiri kwa miaka 5?
Acha basi kuzidi kunichanganya, kwani 7 na 9 ipi inaelekeaelekea kwenye 10! swali kama hili ni gumu kwako!