Recent content by mypmuh

  1. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah nimepishana na gari la mshahara.
  2. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu jamaa hapaswi kuaminiwa
  3. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Ni aibu alichonifanyia mke wangu

    Bwiii
  4. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Uwanja wa Taifa, Ndicho kimemuokoa Ney wa Mitego.

    Aaaaa kwani hua anasikiliza wananchi wanataka nini??? Eti ameipenda nyimbo hivi ameisikiliza mpaka mwisho kweli?
  5. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatufanya CCM tuonekane kama wafuata mkumbo

    Haina haja ya kua na chama kama sio mwanasiasa hii itasaidia kusema na kusimamia kweli
  6. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Kigumu chuo kikuu cha mtaa Na wachache tu ndo hua wanafaulu..
  7. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sorry mkeka bet
  8. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nenda m bet wana option nyingi sana za kila aina wamekamilika na Ni rahisi kwa wewe kuwala
  9. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Nashukur kwa wazo
  10. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Habari wanajamiiforums Natafuta kibarua au kazi viwandani au sehemu nyingine yoyote Jinsia yangu wakiume, umri miaka 23 Elimu kidato cha sita Kwa yoyote naomba msaada Nb. Ni mwepesi kujifunza na kuelewa
  11. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa Short listed Tanzania Postal Bank

    Apo wewe ndio JIPU
  12. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Teacher-Volunteer

    Atleast be polite
  13. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa Interview sehemu mbili muda mmoja

    Nenda ambayo unaona uwezekano wa kupata Ni mkubwa zaidi
  14. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi na tenda

    Mimi ni mhitimu kidato cha Sita Natafuta kazi sichagui Ni mchapakazi na mwaminifu natanguliza shukrani Umri Wangu Miaka 23 wakiume
  15. mypmuh

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kufikiri na kuwaza

    Copy and paste
Back
Top Bottom