Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,463
25,384
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.
 
Walimu wa ardhi ni wapenda sifa sijapata kuona, wanadhan wao ndio wana akili peke yao hasa hao vijana vijana bora hata wangekua na maisha mazuri sasa ya kuringia kama wanavojiona ni majinius

ukikosea kidogo utasikia ungeenda kusoma sociology huko udsm na blah blah nyingi
 
Sidhani kama ni sahihi kulinganisha vyuo vinavyotoa elimu katika fani tofauti, kwani ugumu au urahisi inawezekana ku evaluate katika fani moja mfano ingekuwa rahisi kama vyuo vyote vingekua vinafundisha course za aina moja but I think it is illogical kufananisha ugumu wa vyuo wakati vinatoa couse tofauti (I stand to be corrected)
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi

Sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau ,vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop ,hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri

Pia huku kila wiki pepa
Kijana ndio kwanza mwaka wa kwanza, jitahidi usirudie somo.Mlinganisho wa vyuo huwa unafanywa na wanafunzi wa sekondari.
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi

Sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau ,vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop ,hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri

Pia huku kila wiki pepa
Kila chuo kina ugumu wake na huwez kulinganisha ardh na muhas kwani hata course zitolewazo kat ya vyuo hvyo ni tofaut...ki ufupi kila kitu kinaugumu na si mtelemko kama unavyodhani...
 
Back
Top Bottom