Recent content by Myomb_0

  1. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Nifikie wapi kuitalii Zanzibar kwa wiki moja?

    Habari wakuu, Natumaini ni wazima wote licha ya changamoto ya covid19. Naomba ushauri kwa wale waliopo Zanzibar au waliowahi kupatembelea; Ni hotel gani nzuri ambayo una huduma nzuri lkn pia ipo karibu na vivutuo vya utalii? Pia, kwa honey moon mnashauri hoteli gani? Pia, mnashauri...
  2. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Umejifichia Shanty town sio😀😀
  3. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Zahera siku zako zinahesabika

    Mkuu, hebu tuachie kaniki yetu.Sisi ndio tunajua ina rangi gani.
  4. Myomb_0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Hatari sana hii. Ni jukumu letu sote kutoa elimu kwa wadogo zetu.Tusikae kimya.
  5. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Mjimya: Mti adui wa dhahabu unaoogopwa na wachimbaji kuliko hata nyoka

    Itakua wahenga waliona miti inakatwa sana bila sababu za msingi wakasambaza uongo ... Ni kama yale maswala ya kuwaambia wajawazito wasile mayai ....
  6. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Mjimya: Mti adui wa dhahabu unaoogopwa na wachimbaji kuliko hata nyoka

    Ni imani tuu za kishirikina.Umewahi kudadisi hiyo imani ilianza lini?Baada ya matukio gani? Inawezekana wahenga walisambaza 'uongo' ili msiikate sana bila sababu za msingi ...
  7. Myomb_0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Kuongea ni muhimu bila kusahau miguno ya simba na kupapasa.
  8. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

    Aisee, kwamba uzi wako hauna title.
  9. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

    Una kipato gani? Hayo ni matumizi ya wastani au ni halisi kwa wiki hiyo?
  10. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

    Hiyo title ni uongo usiopimika.
  11. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Bora kuishi na slow learners wa darasani,kuliko kuishi na slow learners wa mambo ya siasa na wanasiasa

    Hapa siwalaumu wapiga kura moja kwa moja.Labda kama unazungumzia kuandamana.
  12. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Povu langu nisiye na nyumba

    Mimi nakusalimia dada Evelyn Salt Zichukue hizo gambo kama motisha wa wewe kujenga.Zisikuumize bure.Wakikupa lemons tengeneza lemonades...
  13. Myomb_0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wote karibuni darasa la wakubwa.

    Ni kweli baadhi ya wanaume hawatulii ila hili bandiko lina mashiko. Kuna watu ni wavivu sana dada yangu...acha waelekezwe kama watasikia....
  14. Myomb_0

    JamiiForums Tanzania Ufahamu Mti wa Mlusina (Leucaena leucocephaela)

    Huu mti ulinitengua mkono ototoni na sikusema nyumbani.Nilikatazwa kupanda miti hivyo nikajua nikielezea nimetengukaje mkono itakula kwangu...
Back
Top Bottom