Wadada wote karibuni darasa la wakubwa.

Wadada wote karibuni darasa la wakubwa.

Hata ufanyeje kama sikupend unajiangaisha tuu,..
Ujue wanawake nyie hamuelew kitu ki1,sis wanaume sometime tunakua na nyie kupunguza ugum tuu sio kwamba tunawapenda kiivyo,so
Kama hauko moyon hayo yoote ni KAZI BURE bint.

N.b,..unaweza ukawa mrembo saana,ila kama hauko moyon ni kaz bure
Ukisikia magube gube ndio haya...
 
Sasa utamtolea mahari na kuoa mtu usiye mpenda ili iweje?
Wewe dada mtoa uzi mada yako ni safi sana...na huo ndio ujumbe unaowafaa hawa mabint...ila kama ulivyosema uvivu ndio unaowafanya wakuletee critism zczo na maana...

Wewe dada kama hujaolewa...naomba nikuongeze mke wa pili...wanaume halisi ndio tunataka hayo ndio tunayoyataka hayo...vibenten hawawezi elewa...wala hivi vint haviwezi elewa...
 
Haya maujuzi wanayafanya mda gan? Hawa weng wao wameathiriwa na matumiz ya simu unakuta mtu toka ameingia rum anachezea simu muda wote. Niliwahi kumtimua mmoja.
 
Badala ya kutuewekea picha wewe unatuwekea no-good!!! Hamna kitu Hapo.
 
Back
Top Bottom