Recent content by myd

  1. myd

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

    R.I.P Taarifa hii pia imenikumbusha Huyu mama akiwa Mbunge alivyoibua njama za Wizara ya nishati na madini za kuwahonga wabunge wapitishe bajeti yake zilizopelekea David Jairo kama katibu wa Wizara kupigwa chini na Wengine kama Ngereja.
  2. myd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mueleka wa TCRA kwenye Simu fake

  3. myd

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!

    Niwakati sasa wa CHADEMA na Dr. Slaa lujitokeza kuweka wazi polojo za magazeti. wafuasi wa Chadema wako katika hali ya wasiwasi
  4. myd

    JamiiForums Tanzania Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Daima tuko na,mpango wa Mungu...UKAWA wasijichanganye kumreta mgombea ambaye yuko maskioni na midomoni mwa watu wa mjini na vijijini.
  5. myd

    JamiiForums Tanzania Kama si Bunge la Katiba, Samweli Sitta angekuwa Rais

    Kweli mkuu binafsi leo wakati tunatoka kuangali Kongamano leo watu mbalimbali nimeshuhudia wakizungumzia kwa namna SAMWEL SITTA alivyojikosesha bahati kwa tamaa ndogo.
  6. myd

    JamiiForums Tanzania Suzuki carry inauzwa

    mh...!!!!
  7. myd

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

    tushachoka na ahadi zake ambazo uishia miguuni pake, yako wapi matamko ya siku 90 za mafisadi kuvuaagamba,?
  8. myd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wananipenda kupita kiasi

    Huyo anatafuta mchepuko hapa jf, hiyo kiki ya kutafuta PM
  9. myd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuoa

    Pamoja na elimu ya vyuo na madigree kibao, kuoa /kuolewa ni elimu kubwa ambayo hufanya elimu ya vyuo kuwa bora
  10. myd

    JamiiForums Tanzania Mpya: Mwanamke unayetafuta mume pitia hapa

    Lessworking ability...kuna harufu fulani hapa ya kuamka saa tano na kuangalia jikoni
  11. myd

    JamiiForums Tanzania Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

    Binafsi kwa kipindi hicha hawa wadada wenye matako ya kupitiliza nimetokea kuwachukia, kwanza wamejawa na viburi baada ya miruzi kiwa,mingi kwa kitaa,kutoka kwa wanaume wazinzi
  12. myd

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    Tutakuwa wendawazimu kama tutashindwa kuchimba Madini hadimu na yanayohitajika kwa ubora wake katika soko la Dunia( Dr. P. W. Slaa) kwa sababu tumezoe kuuza madafu CCM. Niwakati wa Watanzania kuheshimika kimataifa , tuonekane tunauwezo wa kupima na kutenda .tusikalie mazoea huku CCM wakituhadaa...
  13. myd

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Sifa khemkhem za usomi si kigezo pekee kuwa Rais wa atakayetufaa kuliletea Taifa maendeleo
  14. myd

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wachafua hali ya hewa Bukoba, Kagasheki na Nape kwenda kujaribu kuzima moto

    Mwendo uleule makamanda
  15. myd

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Binafsi nimekuwa nikiliskia vijiweni nakwawaganga. Lakini mimi kama ME sijawahai kukumbana natatizo lanamna hiyo ,gear napanga vizuri, napandisha na nashusha vizuri.
Back
Top Bottom