lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Kama si bunge la katiba Samweli Sitta angekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Angeugwa mkono na Tume ya Mabadiliko ya Katiba,angeugwa mkono na UKAWA na watanzania wote.
Nakumbuka Lema alimuonya Sitta kuwa kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge la Katiba ni mtego wa mafisadi lakini Sitta alidharau,yamemkuta hasikiki kabisa.