Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
rubii, kwanza umri wake na mke anayetaka ni wazi anataka shuga mamy atunzwe tu duu
Mariooo, Mh! Nachalea Kuamini Nilichokisoma. Sasa Na Wew Unathubutu Kujiita Mwanaume????.... Wenye Uwezo Hawawezi Kuolewa Na Marioo Kama Wewe. Pole SanaMambo Zenu Wakuu! Mwanamke Ambae Yupo Tayar Kuolewa Anitafute Kwa Mawasiliano Zaidi,bado Sijapata Kazi Ila Akipatikana Co Mbaya Lakin Awe Na Uwezo,uthubutu,nia Pia.Sina Vigezo Vingi Umri 26-30,awe Anafanyakazi,
Mambo Zenu Wakuu! Mwanamke Ambae Yupo Tayar Kuolewa Anitafute Kwa Mawasiliano Zaidi,bado Sijapata Kazi Ila Akipatikana Co Mbaya Lakin Awe Na Uwezo,uthubutu,nia Pia.Sina Vigezo Vingi Umri 26-30,awe Anafanyakazi,