JF is never boring....hivi hili na lenyewe linahitaji ushauri
unaposema hili nalo linahitaji ushauri, unamaanisha nini? Hili lijamaa au hili jambo?
Uhhhhh hapa nimechoka
Ngoja niende nje nikapunge upepo kidogo naweza pata afueni
hahahahahahahahahaLete mkeka tukae pale chini yamti...