Recent content by Mworombo01

  1. Mworombo01

    Engine oil ipi nzuri?

    Hapo ukut kawekewa oil ya manual wakati gari ni auto
  2. Mworombo01

    Mtu mwenye matatizo ya kusikia anaweza kupata leseni

    Ukifanyiwa ukaguzi na kugundulika huoni vizuri huwezi pewa leseni swala la miwani ni kitu kingine.
  3. Mworombo01

    Mtu mwenye matatizo ya kusikia anaweza kupata leseni

    Kwa bongo mtu akiwa hata na uoni hafifu haruhusiwikupata lesenisijui kwa wenye shida ya usikivu, ngoja tusubiri wadau.
  4. Mworombo01

    Hivi kutengeneza App kama ya UBER ya Kibongo tunakwama wapi?

    Mkuu uzi mzuri maana nami nimekua nafuatilia kuwekeza kwenye hii biashara dereva niwe peke yangu ila baadae nimpe mtu. Tafadhali nijuze kwani kipande ulikua uchukue ngapi kwa siku na pato zima ikowa ni pamoja na wese mlifanikiwa kuingiza bei gani? Isije ikawa dereva naye aliingia tamaa au...
  5. Mworombo01

    Undani wa Biashara ya Uber

    Wadau habarini, naomba mwenye uelewa wa biashara ya UBER anisaidie mawili matatu ikiwa ni pamoja na uzuri na hasara zake. Nataja kuwekeza sekta hiyo. Natanguliza shukrani
  6. Mworombo01

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Serikali ya Wanyonge! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mworombo01

    Wataalam wa Masuala ya Ndege naomba msaada wenu kwa hizi Ndege mbili za Nicaragua kwenda Matengenezoni

    Na baada ya service ikifika tena faida kama hiyo tutazirudisha service tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mworombo01

    Wataalam wa Masuala ya Ndege naomba msaada wenu kwa hizi Ndege mbili za Nicaragua kwenda Matengenezoni

    Miandiko mibovu kama hii ndo iliyomsababishia yule mama akapewa dawa ya Mkuyati awekewe machoni badala ya dawa halisi ya macho. Mtatuua jamani kuweni na miandiko inayoeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mworombo01

    Benki Kuu ya Tanzania(BoT) yahamisha Mali na Madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd

    Jamaa kagongwa swali kaona ni gumu kahamia kwa mwenzie na kumnong'oneza.... "AISEE HILO SWALI GUMU SANA HEBU NIPE MATERIAL YAKO NIDESE... HAHAHAHAHA" I smell something fish on this Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mworombo01

    Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

    Kutamani mwanamke aiye mke wako ni dhambi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mworombo01

    Alichokizungumza kwenye mapokezi ya ndege sicho walichotegemea kusikia

    Salama ni kwa Yesu tu... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mworombo01

    Tanzania iliwahi kuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani

    Ki Willy Gamba sawa ila kiuhalisia inatia shaka tena kubwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mworombo01

    Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

    Zero IQ Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mworombo01

    Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama

    Hapo umshukuru Mungu huenda uliepushwa na jambo. Acha uzinzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom