Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,407
Sure man nakuunga mkono...hawa wazungu ni maidiot kinomaIdiot.
Sure man nakuunga mkono...hawa wazungu ni maidiot kinomaIdiot.
What is this nowMbona naskia mzanzibari ndo aligundua computer...ila wazungu wakamchukua wakampeleka kufanyia experiments knowledge yake halafu walipoitengeneza wakamuua hata hawakumtaja


Hii hukuisikia?What is this now![]()
Hivi hata AiBNb kaka unashindwa kutengeneza?Tujikite kufanya small things kwanza kulingana na jamii tuliyo nayo. Ni mtazamo tu.
Shida si kutengeneza, shida ni baada ya kutengeneza.Hivi hata AiBNb kaka unashindwa kutengeneza?
Mimi naona uendeshaji wa Airbnb kwa scale ndogo kama hapa bongo ni mrahisi kuliko Jamii forums.Shida si kutengeneza shida nimekutumia pangaje baada ya kutengeneza.
Anza wewe basi. Kwani hupendi kuwa na fedha nyingi kama wao?Mimi naona uendeshaji wa Airbnb kwa scale ndogo kama hapa bongo ni mrahisi kuliko Jamii forums.
Labda unambie ishu za marketing ambapo sio kigezo cha kumfanya mtu asiinvest Idea nzuri kwa kuhofia marketting...kizuri chajiuza
Mimi sina mpunga wa kuinvestAnza wewe basi. Kwani hupendi kuwa na fedha nyingi kama wao?
Oops, basi sawa!Mimi sina mpunga wa kuinvest
Wewe ni mzungu?Shida nyie wabongo mnautapel kwenye issue zenu
Wewe ni mzungu?
Mna local Uber like ngapi hapo Kampala Boss?Mimi ni Muganda
Hakuna aliyekataa ila nani anayeanza.
Mkuu uzi mzuri maana nami nimekua nafuatilia kuwekeza kwenye hii biashara dereva niwe peke yangu ila baadae nimpe mtu. Tafadhali nijuze kwani kipande ulikua uchukue ngapi kwa siku na pato zima ikowa ni pamoja na wese mlifanikiwa kuingiza bei gani? Isije ikawa dereva naye aliingia tamaa au hakuichukulia biashara serious akashindwa ku deliver. Vipi kuhusu ukubwa wa gari I mean cc kwa biashara hiyo. Natanguliza shukraniWakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.
Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee
Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.
UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.
Tuna kwama wapi kwani
Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
Kuna mtu ananidokeza hapa eti nikweli taxfy ni ya Kenya?