Recent content by mwongozo

  1. M

    My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

    CHADEMA KUNANI? tunaambiwa ilikua typing error kwa kusahau tarakimu nyingine na kuandikwa sifuri tu. hili linawezekana! tatizo ni kwamba zitto, wenje, msigwa na wabunge wengine wameunda urafiki mkubwa ambao unawatisha akina mbowe, slaa nk....... WALIENDA MAREKANI KUTANGAZA CHAMA BILA YA...
  2. M

    Ushauri: Chadema jaribuni kumtumia Prof Lipumba kutengeneza Bajeti Mbadala.

    licha ya chdm kutokua na uhusiano mzuri na cuf kwa ss, lkn lipumba asichafuliwe kiuwezo! siyo sahihi. maprofesa wengi wa chuo kikuu mlimani wanamkubali sn na wanamuita mara kwa mara kushauriana kuhusu mambo ya uchumi. kimataifa anakubalika sn! museveni alimtumia kwa miaka 2 na kweli uchumi wa...
  3. M

    Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

    kama hii katuni inanasibishwa na na kura za jana bungeni, basi haina mantiki. kwanza kama dhaifu ndiyo hao chdm mbona walipiga kura za hapana. mbona hapo kwenye msitari hakuna mtu upande wa dhaifu!!!!!!! kama katuni inahusu uchaguzi wowote ule, mbona maneno dhaifu na dikteta hayaendani! bora...
  4. M

    Majukumu ya mh. Lukuvi

    NI CHIEF WHIP. mnadhimu mkuu wa shughuli za serikali bungeni. ni msaidizi mkuu wa waziri mkuu bungeni. yey ni kiraka pale bungeni. anaweza kumsaidia waziri yeyote yule ktk kuokoa jahazi. vilevile panapotokea mvutano na malumbano bungeni, lazima ahakikishe kuwa anakikingia kifua chama chake cha...
  5. M

    Majukumu ya mh. Lukuvi

    NI CHIEF WHIP. mnadhimu mkuu wa shughuli za serikali bungeni. ni msaidizi mkuu wa waziri mkuu bungeni. Yeye ni kiraka pale bungeni. anaweza kumsaidia waziri yeyote yule ktk kuokoa jahazi. Vilevile panapotokea mvutano na malumbano bungeni, lazima ahakikishe kuwa anakikingia kifua chama chake...
  6. M

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    Nape umeandika thread yako kiufasaha na kiufundi! hongera sana. kutoa tahadhari kuhusu kutukanwa ni jambo la kawaida. uko sahihi kwa sbb hapa wa2 wanataka wasikie ukimsifia mnyika au mbowe. Nimemshuhudia na kumsikia mwenyewe mzee wassira! siyo siri huyu MZEE NI HAZINA KUBWA YA TAIFA. ni...
  7. M

    ANGALIENI CV YA ADAM MALIMA: hana form six wala bachelor, loooo!!!!

    hiyo ni typing error! malima alisoma na kupata masters nje kama ilivyo andikwa. ikumbukwe kuwa baba yake mzee kigoma malima alifariki uingereza akiwa amekwenda kuhudhuria graduation ya mwanae. baba yke alikua profesa na alithamini elimu
  8. M

    Bungeni: Wasira anatumia saa nzima kutaja watu majina

    wewe ni limbukeni wa mambo ya bunge. wassira ni waziri. anajibu hoja za wabunge waliochangia kuhusu mambo yanayohusu wizara yake.. lazima awataje majina. nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !! siyo siri...
  9. M

    Wassira amtupia dongo Mwigulu...

    nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban
  10. M

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Chama cha CHADEMA kimekua na maendeleo mazuri kisiasa ktk miaka 5 iliopita! ni jambo zuri linalo leta matumaini ya kuchukua dola! kufanya vizuri ni jambo moja na kutunza kiwango ni jambo lingine tofauti. kwa maoni yangu, chdm mnashindwa kutunza kiwango. mambo yafuatayo ni vielelzo tosha. 1- Mh...
  11. M

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    chama cha chdm kimekua na maendeleo mazuri kisiasa ktk miaka 5 iliopita! ni jambo zuri linalo leta matumaini ya kuchukua dola! kufanya vizuri ni jambo moja na kutunza kiwango ni jambo lingine tofauti. kwa maoni yangu, chdm mnashindwa kutunza kiwango. mambo yafuatayo ni vielelzo tosha. 1- mh...
  12. M

    Wassira, Bulaya wazozana bungeni!

    wassira nanalalamikia unafiki wa bulaya. bulaya ananyememlea jimbo lake kwa kutoa msaada bunda. bulaya ni mbunge wa vijana ccm mkoa wa mara. ktk mkoa mzima amejikita bunda. mimi sioni kosa ktk hili. tatizo ni kwamba wassira anasema kuna uhusiano usio halali ktk vitabu vya dini kati ya bulaya...
  13. M

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    MADAKTARI SUBIRINI BAJETI MPYA nawashangaa madaktari kugoma ktk mwezi wa sita! wasubiri makadirio mapya ya bajeti ndiyo waiulize serikali kuhusu madai yao
  14. M

    Ridhiwani Again

    tusishushe hadhi ya JF. mtu unapo anzisha mada / thread, jitahidi kuona kuwa unaandika habari inayojitosheleza vizuri ili wachangiaje waelewe nini cha kuchangia! habari ya ridhiwan tuna hamu ya kuielewa kwa undani zaidi
  15. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    mnyika hana la kujitetea. aliropoka na ana bahati spika alimuadhibu kwa kifungu cha kwanza. alikua atumie kifngu cha pili ili kumzuia vikao vitano ili kumtoa ulimbukeni
Back
Top Bottom