wassira nanalalamikia unafiki wa bulaya. bulaya ananyememlea jimbo lake kwa kutoa msaada bunda. bulaya ni mbunge wa vijana ccm mkoa wa mara. ktk mkoa mzima amejikita bunda. mimi sioni kosa ktk hili.
tatizo ni kwamba wassira anasema kuna uhusiano usio halali ktk vitabu vya dini kati ya bulaya na mdee. wanaishi chumba kimoja ddm kama mume na mke. huhusiano wao siyo tu unaiumiza ccm, bali unaiumiza hata chadema. vile mdee ndiyo mume, chdm wamekua wakifaidi sn siri za ccm kupitia bulaya.
kwa hali hiyo chdm walimushauri sugu afute uhusiano wake na shyrose banji, ccm, ambao utamgharimu ubunge wake wa mbeya. sugu alitii hilo wazo.
tatizo la bulaya ni kuponda chama chake siyo ktk bajeti hii lkn amekua akifanya hivyo. amekua kama sitta na mwakyembe miaka ya nyuma walivyokua waniponda ccm na wamo humohumo. ni bora kama mtu umeamua kujiunga na chdm ukajiunge kuliko kubaki ccm na unaiponda. ni kama shibuda anavyo iponda chdm na ni mbunge wa chdm! inashangaza sn! bulaya tangaza wazi kuwa wewe ni chdm