Bungeni: Wasira anatumia saa nzima kutaja watu majina

wewe ni limbukeni wa mambo ya bunge. wassira ni waziri. anajibu hoja za wabunge waliochangia kuhusu mambo yanayohusu wizara yake.. lazima awataje majina. nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban
 
Umetoka usingizini???.

"Tukope tu watalipa vizazi vijavyo"...... Hiyo ndio akili??
 
Eti wabunge wa CCM wanaunga mkono kwa sababu wameelewa. Kweli safari ni ndefu.
 
wewe ni limbukeni wa mambo ya bunge. wassira ni waziri. anajibu hoja za wabunge waliochangia kuhusu mambo yanayohusu wizara yake.. lazima awataje majina. nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban

una matatizo ya kushindwa kufikiri
 
Mambo ya msingi yanayogusa moja kwa moja maisha ya mtanzania na wewe ukiwemo.. unaingiza ushabiki kama wa mpira..!
 
Mimi pia hili suala hunistaajabisha sana hivi kutaja waliochangia kunatusaidia nini sisi? Upuuzi mtupu dk 20 mtu aanataja majina tu?
 
Back
Top Bottom