CHADEMA KUNANI?
tunaambiwa ilikua typing error kwa kusahau tarakimu nyingine na kuandikwa sifuri tu. hili linawezekana! tatizo ni kwamba zitto, wenje, msigwa na wabunge wengine wameunda urafiki mkubwa ambao unawatisha akina mbowe, slaa nk....... WALIENDA MAREKANI KUTANGAZA CHAMA BILA YA RIDHAAA YA MTEI NA MBOWE! tatizo lililopo ktk chdm ni kwamba kila m2 anatafuta sifa. kujijenga yeye mwenyewe. walifanikiwa kuhamasisha watanzania walioko marekani na kwa ujumla ziara ilikua na mafanikio. hawakuenda na mbunge wa chdm atokae kaskazini hata mmoja!!!!!!!!!!!! MAKAO MAKUU WALIIONA ZIARA ILIE KWA MACHO MAWILI: kwanza kujiimarisha kwa zitto. pili kupambana na uchagga ndani ya chdm.
KWA NINI MBOWE NA LISSU WALIMSHAMBULIA ZITTO BUNGENI
katika utangulizi wa bajeti ya zitto, alitumia neno BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI. haya maneno yamekua yakitumia toka mwaka 1995. ni maneno ambayo yamezoeleka lkn hayapo kikanuni. maneno sahihi ni MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI. kilichoshangaza ni juzi siku ya alhamisi, lissu alisimama na kukosoa neno la BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI kuwa ni kosa! akasema maneno sahihi ni MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU BAJETI YA SERIKALI. licha ya kuona jinsi wabunge wa ccm walivyowasakama chdm, aliendelea kuwasaidia kumponda zitto! kama hiyo haitoshi MBOWE NAE ALISIMAMA KUMUUNGA MKONO LISSU. wabunge wa ccm walifurahi sana na kupiga meza kwa kishindo. mbowe anamuogopa zitto kama tsunami. ameona atumie fursa hii kumsulubu zitto. AKUMBUKE KUWA YEYE NI MWENYEKITI. HAPASWI KUIPONDA CHDM YAKE BUNGENI. lkn kwa kua amnamuogopa zitto sn, akaona heri chdm ifedheheke lkn amsulubu zitto.
NATABIRI MPASUKO CHDM
mambo yakiendelea hivi, chdm kitapata mpasuko. uchaguzi wa ndani utakao fanyika mwankani unawaumiza sn viongozi.
USHAURI WANGU KWA ZITTO
zitto wewe siyo MCHAGGA. NAAPA KUWA WACHAGGA HAWAWEZI KUKUPA HATAMU YA JUU YA CHAMA CHAO. HILO SAHAU. HUU NDIYO UKWELI HALISI. HUWA SIPENDI KUFICHA UKWELI. KUMBUKA MZEE MTEI ALIVYOKUITA NA KUKUULIZA "UNAJUA HIKI CHAMA KIMEANZISHWA KWA MALENGO GANI?" zitto umechangia kuhamasisha vijana wasomi kujiunga chdm, umechangia kukijenga chdm, lkn NI KAMA UNATWANGA MAJI KWENYE KINU. HUPENDWI CHDM.
nakushauri kabla ya mwaka 2015, kajiunge nccr au cuf kwa sharti la kupitishwa kama mgombea urais. u can do better through those 2 parties. wewe NI KICHWA. WEWE NI MWANASIASA SHUPAVU!!!!!!!!!!!!!!!!!! fuata ushauri wangu. angalia slaa navyofunikwa na mbowe. tz daima halimuandiki tena slaa. jangwani alipewa dkk sawa na sugu na mnyika!
siogopi kusema ukweli kwa maslahi ya taifa langu