Chama cha CHADEMA kimekua na maendeleo mazuri kisiasa ktk miaka 5 iliopita! ni jambo zuri linalo leta matumaini ya kuchukua dola! kufanya vizuri ni jambo moja na kutunza kiwango ni jambo lingine tofauti. kwa maoni yangu, chdm mnashindwa kutunza kiwango. mambo yafuatayo ni vielelzo tosha.
1- Mh Mbowe alikana gari la kiongozi wa upinzani hadharani. Baada ya muda mfupi akalichukua kimyakimya!
2- Wabunge wa CHADEMA walikataa posho lkn wameendelea kuzichukua hadi hii leo!
3- Wabunge wengi wa chdm wamehamia kwenye malumbano bungeni kuliko kujenga hoja. mtindo huu unongozwa na lissu, msigwa, lema (hayumo bungeni), wenje........ mnyika na zitto ni wajengaji wazuri wa wa hoja!
4- Kibri alichokionesha Mnyika kukataa kufuta kauli yke kuhusu rais kikwete siyo ueledi na busara. ni utovu wa nidhamu. CCM wamefanikiwa kuwatoa CHADEMA kwenye kujenga hoja na kuwafanya waingie kwenye malumbano. CHADEMA wakumbuke kuwa kabla ya mwaka 2010 walikua wachache sn bungeni lkn hoja nzuri zenye mantiki zilizojengwa na Dk Slaa, Mdee na Zitto, ziliijenga sana CHADEMA. Tafadhalini CHADEMA jengeni hoja ili kurudisha heshima ya CHADEMA bungeni.
5- Akina Zitto, Msigwa, Lissu na wengineo walikimbilia majimboni kufanya mikutano ya hadhara kuambia wananchi kuwa bajeti ni mbovu wakaikatae! la haula!!!!!!!!!!!!
Nilivyoona mambo yamekua hayo, nikajiuliza: hivi chdm wanakwenda wapi? bajeti itasomwa bungeni ww ni mbunge unakimbilia kwa wananchi eti kukusanya maoni yao kuhusu bajeti!
Tunapoteza muelekeo sn! zitto siku moja kabla ya kusoma bajeti mbadala, alikua iringa kwa msigwa. hakupata hata muda wa kupitia bajeti yke kucheki erros! akawasilisha bajeti iliyo na makosa ya kiuchapaji. CCM wamebana hapohapo kuisulubu chdm na kweli hadi muda huu, chdm wameyumba sana bungeni! Chama kinapelekwa wapi?
Rudisheni CHADEMA ile ya kabla ya mwaka 2010 iliosifika kwa kujenga hoja bungeni!!!:hand:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!