Wassira amtupia dongo Mwigulu...

Nchemba amewakoroga si CDM tu hata chama chake, kwa kweli sasa yuko matatani maana kauli zako zimekuwa harmful kwa chama chake.lazima apigwe chini ameonekana ni chizi
 
Leo kidogo anaongea vitu vinaelekea kusaidia sio 100% ila kidogo afadhali. KILIMO.
 
Nchemba amewakoroga si CDM tu hata chama chake, kwa kweli sasa yuko matatani maana kauli zako zimekuwa harmful kwa chama chake.lazima apigwe chini ameonekana ni chizi
Khaa sasa mbona walikuwa wanamchangia hela za kumpongeza!
 
mia nimeisikia pia. Wana jf ikumbukwe wiki iliyopita Mwiguru Nchemba wakati akichangia alijitamba wazi kuwa,kuna watu ni wanasheria wajadili mambo ya uchumi,wengine ni wataaramu wa mambo ya disco wanajadili uchumi.ndo akasema yeye ni mwanauchumi daraja la kwanza na amefanya kazi pale BOT.
 
Nadhani mlengwa alikuwa zito maana naye alitamba ana A ya public finance. Nadhani baadaye atatoa ufafanuzi, ha ha ha ha
 
Wassira ni kichwa kwa aliyotoka kumweleza zitto hivi punde kuhusu bajeti hata zitto anaonekana na wapinzani wako karibu kukubali..... tuendelee kufuatailia.

Mungu hawezi kukunyima sura na akili kumbe wassira kajaliwa akili.
 
Nadhani mlengwa alikuwa zito maana naye alitamba ana A ya public finance. Nadhani baadaye atatoa ufafanuzi, ha ha ha ha
Zitto alisema yeye alisoma the same course mbele ya Mwigulu hakusema alipata A
 
nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban
 
nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban

well said ......mzee wassira kawarejesha wapinzani kwenye mstari.

anasema kukopa sio kosa kosa ni namna unavyotumia mkopo, hata nyerere alikopo akajenga vyuo vikuu ambavyo sisi tumesoma na tunahitajika kulipa alichokopa mwalimu na sisi tukikopa tukajenga daraja kama la kigamboni na maragalasi hakuna matatizo vizazi vijavyo kulipa kwa maendeleo tuliwaletea.....akasema ni muhimu tukaangalia na kuzingatia mkopo unapelekwa wapi badala ya kuhamasisha kwamba tusikope na amekaataa kuelekeza mikopo kwenye vitafunio kwamba hilo ni kosa.
 
nimeipenda sana hii ya wassira
Kuna kitu nimekiona kwa Wasira, ukikaa naye face to face mkalumbana politically humuwezi hata kwa namna gani. The guy is a real politician. Sikiliza kama ataongelea ile issue ya uchumi wa Africa kukua kwa average ya 2% (kama alivyosema yeye) wakati the least performed country ilikua kwa more than 3%. Hii hawezi kuisema kwasababu anajua alibugi
 
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............

Tumekupata mkuu na mie nilikuwa namwangalia mzee mzima Wasira akiwakilisha, unajua unaweza faulu chuoni lakini ukija uraiani huku utatumiaje elimu yako kuleta mabadiliko mfano mzuri washukuru wao ni wabunge na walipata kazi soon walipomaliza chuo, kuna watu wapo uraiani na wanasema wachumi lakini kichwani hana hata plan ya kufanya shughuli binafsi za kiuchumi. Wasira ila ana kipaji na yeye cha kuwakilisha kama ni mgeni wa nchi hii unaweza sema yote yaliyosemwa yatatekelezwa kumbe hapo kila mpango uliowekwa tayari kuna assumption pembeni ambayo akimaliza tu kusoma wanakaa timu ya ufundi kujadili namna ya kupangua hoja incase kama mpango usipotekelezeka
 
Wasira; "Mkitaka kuamua mambo mazito, msiwe mmekasirika kwasababu mkiamua mambo mazito mmekasirika mtashindwa kulisaidia Taifa"

amewashauri wabunge kutumia hoja kujibu hoja badala ya hasira kwani hasira inasababisha akili ya mtu kusimama kufikiri na ikisimama kufikiri wabunge watashindwa kuleta maendeleo kwa wananchi.....big up .
 
Back
Top Bottom