Recent content by Mwonambali

  1. M

    Mwalimu wa shule ya awali anahitajika haraka

    Herry, wewe kama una form four "ya ufaulu" kwa nini hukuendelea na shule? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  2. M

    Nchi ikikushinda, basi mambo huwa hivi... Mwangalie Kipanya

    Nchi ikikushinda, basi singizia udini....
  3. M

    CHADEMA yasambaza PikiPiki nchi nzima

    "yanunua" au "itanunua"?
  4. M

    Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Ama kweli chama changu CCM kimekumbuka shuka asubuhi! Labda mzee wetu huyu atafanya maajabu
  5. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    toa hoja, si matusi:becky:
  6. M

    Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

    well, kama Benard hana kashfa nyingine, hiki kijighorofa nakiona kibanda tu... kuwa kiongozi haina maana uwe maskini!
  7. M

    CV ya Dickson Maimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

    mh! well, sioni uhusiano wa kuvaa chini na cv. simple
  8. M

    Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

    sipendi wanzanibari wanavyodeka. nadhani imefika mahali tuwatupe kama ganda la muwa. karibia kila kitu wanapata toka bara halafu ng'weee, ngw'eee, ng'weee. stupid
  9. M

    Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

    Mbona dogo kifungua tumbo cha mkuu wa kaya juzi tu kanunuaBugatti Veyron Super Sportna mmekaa kimya? V8 ni gari ya kawaida sana. Soma Fastest Cars In The World: Top 10 List 2011-2012 utaacha kushangaa kwa nini mtu anatumia V8. Binafsi nanukuu yafuatayo: - "Bugatti Veyron Super Sport: 267...
  10. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    "Anza na hili la Nyumba za Umma waliojiuzia bei rahisi Vigogo wa serikali na wafanyabiashara wakubwa tena kwa bei rahisi,chonde chonde anza na hilo kwani lina-effect uchumi wa nchi na tumeona viongozi wa serikali wanakaa hotelin na kua na ofisi hoteli coz nyumba za kukaa hawana kwa sababu...
  11. M

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Kama "good sense of humour" ni kigezo cha kuwa raisi, basi wawekeni Original Comedy waongoze nchi. Joti awe raisi, Massanja waziri mkuu!!
  12. M

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Soon, utasikia Professor Juma kateuliwa kuwa jaji wa mahakama ya rufani. Hii ndiyo Tanzania!!
  13. M

    Mene Mene Tekeli na Peresi: CCM vipi mmekosa msomaji na mtafsiri?

    "A wise man will make more opportunities than he finds"
  14. M

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    Juzi hapa nilisoma gazeti fulani hivi lenye madai kwamba alama ya vidole ya "V" inayotumiwa na CDM ni alama ya Freemasons na kwamba Freemansonry ni dini ya kumuabudu Shetani. Binafsi nadhani huu ni upotoshaji wa mambo. Isipokuwa, kabla ya kuhitimisha, naomba michango yenu juu ya hadidu...
Back
Top Bottom