JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

This is Tz, you never trust anyone. Nchi ya ushikaji shikaji tu kila kitu. MUNGU isaidie nchi hii maana hata viongozi wa dini tunasikia wanahongwa siku hizi sijui tukimbilie wapi??? Umasikini huu mweee!!

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Mwisho wa ccm upo karibu sana. Dont you people worry!!??
 
Hukumu haikuwa sahihi wala ya ukweli kama ambavyo aliyeshinda kesi anajiita Makongoro ilhali jina lake ni MARK ONGORO, Jaluo huyo.
 
nimeikuta hii kwa wachangiaji ktk facebook wall ya heche.

Nanukuu

" mimi binafsi nilijua wazi juu ya hilo,kwani hata alipokamatwa na kura na kupelekwa polisi buguruni.rais kikwete ndio aliyempigia simu mkuu wa polisi kwamba amwachie mara moja.kama ilishakuwa hivyo nani anaweza kuwa juu ya rais,hata mahakama zinamuangalia rais kabla ya kutoa maamuzi yake.pia niwape taarifa za ndani,imetolewa amri kutoka kwa mweshiwa kwenda kwa mahakimu wote wanaosimamia kesi zote zinazopiga matokeo ya ccm nchini kote kuhakikisha ccm inashinda kesi hizo.yule hakimu aliyeipa ushindi chadema kwenye ile kesi sumbawanga,amerudishwa makao makuu na atapangiwa kazi nyingine kwa kukaidi agizo hilo.hii ni safari,huwezi kuzuia watu wasisafiri kwa kuwa ni lazima watu watasafiri.tusonge mbele.peoples,power."


mwisho wa kunukuu

#####hizi ni nukuu zako na familia yako, acha kupotosha umma, mpendazoe kashindwa akitaka akate rufaa
 
Hakuna chama tawala milele, kwa namna yoyote, muda ukifika kitatoka. Libya, misri na kwingineko, watawala walilala usingiz wa pono ila waliamshwa kwa mchuz wa damu na makelele ya hasira. KUMBUKENI, AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA. Ipo siku haki ya kila anayestahili itapatikana, ikumbukwe pia, mauaji ya kenya yalikuja ktk mazingira kama haya ya uonevu, OLE WAKE ANAYECHEKA LEO MAANA KESHO ATALIA,and vice versa,
Haya yakitimia, utanikumbuka mjomba.
 
Mungu atawalipia tusubirie mazuri sana kwa Mpendazoe maana hii ni baraka kwa dhuluma walizozifanya hata kama nikufahamiana au ukabila yote mema ajipange 2015
 
Tafadhali rudini kwenye hoja. Hapa tunajadili kwa mustakabali wa Taifa letu. MARYTINA take it easy Kamanda
 
CDM kwenye hili msimlaumu mtu hoja za mpendazoe zilikuwa dhaifu sana na hazina mashiko kama chama chenyewe kilivyo kibabaishaji na hoja za uzandiki

Ni kama zilivyo dhaifu na za kishamba zile za Kupinga ubunge wa
Igunga.Too low hata mimi kama ni hakimu nazitupilia mbali.
 
mpendazoe akienda mahakama ya rufaa lazima atashinda
ushahidi uko wazi,wakate rufaa haraka iwezekanavyo
 
Makongoro si Mkuria. Makongoro ni Mjaluo aliyetokea Kisumu wakahamia Bunda miaka hiyo ya zamani. Jina lake alijaribu kuilatinize ili asijulikane kuwa ni mjaluo. Jina lake la Kijaluo ni Mahanga Ongoro. Kuhusu hukumu nafikiri haki imetendeka na watu humu JF walishaanza kubashiri kuwa atashinda tu.

Jina lake halisi ni Siaga Ongoro Masaburi, ni ndugu wa damu na Didas Masaburi-meya wa jiji la dar.

Jina la Makongoro Mahanga ni kama ilivyo kwa Dr. Hamisi Kigwangalla-bila shaka you know "woraimin"!!

Familia yao haiko Bunda, walihamia wilayani serengeti kijiji kinachoitwa bwitengi, na ndipo makongoro alipopatia upenyo wa kuona mwanga wa shule baada ya kufanya ukigwangalla!!
 
Back
Top Bottom