Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

Mbowe ana VX V8 mbili mimi nimeziona kwa macho yangu Moshi!

Kwa hiyo si ajabu kachukua moja na kuweka plate namba ya KUB!

Kiherehere cha nini??
 
Rejao na avatar yake ya kishetani, huwa na namuona kama shetabi tu. Hapa kachukua picha ya zamani anaanza kubwabwaja! Sorry, I hate you!

Huwa nasema siku zote cdm si wakweli, na hii ni alama mojawapo ya unafiki. Hii picha ni ya juzi alipofanya ziara pale clouds fm, hapo unasemaje ? unafiki wenu utawamaliza na katu mtu mnafiki hadumu
 
Mkuu jaribu kutumia akili zaidi ya kuropoka bila uelewa.Mbowe alirudisha gari la KUB ili kuweka msisitizo kuhusu ulazima wa serekali kubana matumizi na kupunguza expenses ambazo zinawaumiza wananchi.kwamba alionyesha kwamba chadema hawako bungeni kwaajili ya kujinufaisha ila kutetea haki za wanyonge.baada ya kuprove hilo akaenda kuchukua gari lake.ni wazi kwamba hilo gari lingeendelea kutumiwa tu na serekali kama asingeamua kulichukua...Muhimu message aliyokusudia ilifika kwa walengwa.Mbowe ana pesa mingi sio mtu wa kushadadia v8..
Ana pesa mingi lakini bado ana tamaa na ni mnafiki!
 
Mbowe ana VX V8 mbili mimi nimeziona kwa macho yangu Moshi!

Kwa hiyo si ajabu kachukua moja na kuweka plate namba ya KUB!

Kiherehere cha nini??
Hahaha...hata awe nazo kumi, that is not our concern. Tunachoangalia hapa ni kwanini alinga'ang'anie hili alilolikataa kwa mbwembwe.
 
Picha hiyo ni ya mwaka juzi halafu mnaendelea kujadili magamba wanawaadanganya
 
Hahaha...hata awe nazo kumi, that is not our concern. Tunachoangalia hapa ni kwanini alinga'ang'anie hili alilolikataa kwa mbwembwe.

Pambaf!!!! Hilo gari ni la kwake binafsi kwanza anayo mawili. Ndesamburo anayo matano kwa hela ambayo si ya kifisadi
 
KACHUKUENI MA BMW VX NA BENZI ZA IKURU ZENYE THAMANI ZA TRIRION,UR TALKING NONSENSE MJOMBA MBOWE HANA NJAA ZENU ZA AKINA NAPE NA MUKAMA KATIMIA HUYU:israel:
 
KACHUKUENI MA BMW VX NA BENZI ZA IKURU ZENYE THAMANI ZA TRIRION,UR TALKING NONSENSE MJOMBA MBOWE HANA NJAA ZENU ZA AKINA NAPE NA MUKAMA KATIMIA HUYU:israel:
Mkuu kumbe na wewe ni wa kuleee!!
Nimekuerewa!
 
View attachment 54426
Kwa taarifa tulizonazo na wanachi wengi wanavyofahamu, tayari hili gari V8 limekwisharudishwa na Mh. Freeman Mbowe. Lakini cha kushangaza bado huyu mkuu analitumia.

Nashindwa kuwaelewa hawa CDM, kelele zote wanazopiga ni kutuhadaa tu wananchi? Kama kwa hili dogo huyu Mh. kashindwa kulitekeleza, je hayo anayoyahubiri kila siku majukwaani ataweza kuyatekeleza?

Hii inanifanya nikose imani na wapinzani, yapo mengi tu wanayoyazungumza mbayo ukijaribu kuyaangalia utekelezaji wake ni kitu kisichowezekana. Cha muhimu hawa viongozi wetu wasiwe ni watu wa kutudanganya ili kujipatia umaarufu. Kama ukiamua kufanya kitu, fanya kweli!!
Rejao ingekuwa vema ukaorodhesha hayo mengi ili sisi ambao tumeamua kuwa wafuasi tujitoe haraka kabla mambo hayajaharibika, tafadhali ndugu yangu tusaidie kwa hilo ili angalau tusije juta baadae..
 
Kukataa gari moja si kutatua tatizo, tatizo lilipo ni mfumo uliopo, uhajitajika muundo mpya wa kiutawala utakaoleta tija kwa maendeleo ya wananchi wetu. VX V8 moja kamwe haiwezi kuleta kitu, lazima uwepo umoja wenye nia moja ya kufika malengo yaliyo sawa. Kwa sasa tujiulize ni viongozi wangapi wako aware na vision na mission za serikali yao? hapo ndipo utakapojua kuwa viongozi wengi hawajui wanaelekea wapi na kwa nini. niishie hapa kwa leo.
 
Yaani katika huu uzi Rejao na Ritz wangeongea jambo la maana ndo ingekuwa mara yangu ya kwanza kuona hawa watu wameleta kitu cha maana hapa jamvini.

siku zote hao ni habari za uzushi na zisizo na maana kwa taifa hili lenye umaskini wa kusababishiwa na Baba zao akina JK, Lowassa, Rostam, Chenge, Che Mkapa n.k
 
Hii habari ina uzushi gani?
Mpaka ushaidi wa picha nimekuwekea, bado huamini tu! Au kisa ni Mbowe..
 
Kukataa gari moja si kutatua tatizo, tatizo lilipo ni mfumo uliopo, uhajitajika muundo mpya wa kiutawala utakaoleta tija kwa maendeleo ya wananchi wetu. VX V8 moja kamwe haiwezi kuleta kitu, lazima uwepo umoja wenye nia moja ya kufika malengo yaliyo sawa. Kwa sasa tujiulize ni viongozi wangapi wako aware na vision na mission za serikali yao? hapo ndipo utakapojua kuwa viongozi wengi hawajui wanaelekea wapi na kwa nini. niishie hapa kwa leo.

Hili ndilo shangingi alilokataa Mbowe na kulirejesha bungeni. Hili jingine analosema rejao, naona ni jipya na hatujaelezwa kama Mbowe amepewa jingine au hili ni lake binafsi. Hivi hairuhusiwa kwenye gani binafsi kama ndani yake yumo kiongozi wa upinzani au mwingine yeyote kuweka nembo ya kiongozi huyo?

shangingi.jpg
 
Wakati mwingine kweli kutetea Magamba lazima uwe na kichwa kama cha mwendawazimu, waziri mkuu alishawahi kusema magari ya bei kubwa yasinunuliwe fedha hiyo itumike kununua matrekta, serikali ya CCM ikaamua kununua, Pinda kasema hawezi kutumia ilhali gari limenunuliwa, saa hilo la Mbowe limenunuliwa na serikali yenu, kama pale mwanzo alilikataa, kama alikuja kuliomba tena kwanini msingemkatalia? sasa leo mnatuletea upuuzi huo, aheni tuam,bieni kwani hali ya maisha inazidi kuwa ngumu hadi wanafunzi UDSMM wanajiuza hilo la Mbowe na hiyo gari si hoja hapa.Kwanza nina imani hata kama si hilo gari kifedha Mbowe bado ana uwezo wa kununua zaidi ya hilo
 
Tusijibu kishabiki tu kwa sababu tuna mapenzi na Chama husika. Jaribu kupima alichokizungumza na anachokitekeleza sasa. Ni vitu ambavyo haviwiani. Ni bora angekaa kimya aendelee tu kujifaidia V8 lake.

Nenda Kamnyang'anye
 
Mbona dogo kifungua tumbo cha mkuu wa kaya juzi tu kanunuaBugatti Veyron Super Sportna mmekaa kimya? V8 ni gari ya kawaida sana. Soma Fastest Cars In The World: Top 10 List 2011-2012 utaacha kushangaa kwa nini mtu anatumia V8. Binafsi nanukuu yafuatayo: -

"Bugatti Veyron Super Sport: 267 mph, 0-60 in 2.4 secs. Aluminum, Narrow Angle 8 Liter W16 Engine with 1200 hp, base price is $2,400,000. Although the Bugatti Veyron lost the title to SSC Ultimate Aero on March 2007, Bugatti challenge the record in Germany on July 10, 2010 with the new 2010 Super Sport Version and the Veyron once again claims the title of the fastest car in the world at 267 mph. The original Bugatti Veyron has a top speed of 253 mph, priced at $1,700,000" and equipped with 1001 hp.
 
Wakati mwingine kweli kutetea Magamba lazima uwe na kichwa kama cha mwendawazimu, waziri mkuu alishawahi kusema magari ya bei kubwa yasinunuliwe fedha hiyo itumike kununua matrekta, serikali ya CCM ikaamua kununua, Pinda kasema hawezi kutumia ilhali gari limenunuliwa, saa hilo la Mbowe limenunuliwa na serikali yenu, kama pale mwanzo alilikataa, kama alikuja kuliomba tena kwanini msingemkatalia? sasa leo mnatuletea upuuzi huo, aheni tuam,bieni kwani hali ya maisha inazidi kuwa ngumu hadi wanafunzi UDSMM wanajiuza hilo la Mbowe na hiyo gari si hoja hapa.Kwanza nina imani hata kama si hilo gari kifedha Mbowe bado ana uwezo wa kununua zaidi ya hilo
Matumizi ya hilo gari kwa mwenzi garama yake inatosha kuwalipia wanafunzi 10 wa UDSM ada.
 
mbowe alipewa gari alipokuwa mbunge,na alipochaguliwa kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani akapewa gari jingine tena na ndilo alilolikataa
 
Naonna watu wanajaribu kuikimbia ukweli, kisa hayo madudu kafanya mbowe. Ngoja tu nilogg off kwenye hii Thread. Chamsingi tumeshafahamu unafiki wa huyu anayejiitaa mtetezi wa wawanyonge..
 
Tatizo la CDM hawana common interest!! Kila mtu yuko pale kwa dhumuni lake binafsi... Halafu maskini wananchi wakadanganyika na wamevunwa haswaaa
 
Back
Top Bottom