kindocharuwa
Member
- Sep 11, 2012
- 14
- 7
ingawa ntakuwa nimechelewa kutoa mchango wangu ila naomba niutoe tu jamani!! kwanza kabisa mh, Zitto kiumri hatakuwa amefikisha umri wakumruhusu kugombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi. na sidhani kama kuna haja ya kufikiria kusimamishwa yeye kupeperusha bendera ya chama ilihali katiba ya nchi haimruhusu!!! naomba nisiende mbali zaidi mpaka hapo umri wake utakapofikia kugombea urais nitatoa sababu kama anastahili kupeperusha bendera ya chama au la!!! unayesema chadema kuna udini kwenye mtandao kama huu kama siyo mchawi basi una mawazo mgando!!!!