Recent content by Mwombeki Hamrungi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Tatizo la kubwa la bukoba ni unafiki uliokithiri ndo chanzo cha kubak nyuma, pili muingiliano wawatu tofaut tofaut hakuna wamebaki kuwa na kabila moja2 vitega uchumi hakuna
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida mbili za kuoa mwanamke bikra

    Ni kwel wapo wengi
  3. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nchini Uganda kuna kundi la watu wanaouza viungo vya binadamu

    Kwa Uganda sio ajabu watu wanakamatwa na kuchuna ngoz za binadam hakika tunaelekea pabaya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

    Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni hesabu tu.. Kuliko kutuma laki mbili kwa simu ndani ya Dar, mtume mwanao apeleke

    Achen kupotosha watu gharama ya kutuma pesa imebadilika kidgo2
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua

    Weka mzigo
  7. M

    JamiiForums Tanzania M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

    M tangu tarehe 1 mpaka leo hii bado sijarudishiwa pesa yangu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuuu naweza kukuona?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mkuuu nisidie karbia wananimalizia mtaj wangu nipe mwanga nifanyeje jamani???
  10. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Dawa ya kuzuia chuma ulete mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri asema atahakikisha ongezeko la tozo kwenye miamala haliathiri mteja

    Vodacom na Tigo tayari washaongeza gharama kinyemela kabla ya july
Back
Top Bottom