Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
619
Hongera kwenu boresheni mapungufu
 

Attachments

  • wp_ss_20160712_0007.png
    wp_ss_20160712_0007.png
    107.2 KB · Views: 88
Star times walitoa dau kubwa kushinda Azam ila TFF wamewatolea mbavuni...... hapa kuna harufu ya rushwa!!!! .
 
iyo tenda ilitangazwa lini ?
Kwani utaratibu ukuje kwa aliyepewa tenda akaamua kuendelea baada ya muda wa awali kuisha? Nadhani tenda hutangazwa mwanzoni au kama aliyepewa akaamua kusitisha/kuendelea kutoa huduma hiyo.
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
 
Back
Top Bottom