M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

Mi toka tar 29 ndo nimerejrshewa Leo hp napooza koo kwa moja Moto moja baridi crudii tena
 
Wehu hawa walichonifanyia ilikuwa mauaji siku 13 hawajaniwekea hela kwenye account yangu
 
Poleni tatizo sio wanaopokea simu tatizo wanaoshughulikia yaani wanao wasiliana na bank ndio wanaovuta mda sana kwahiyo hao Customercare mnawaonea
 
Yangu Haihusiani na bank aghrrf
Pole pia
Lakini jibu ni kuwa wale wanao pokea simu huwa wanawasilisha tatizo na watatuaji ni wengine ambao ukisema tatizo wanakuambia tunalipeleka idara husika ndani ya masaa..... utajulishwa (sasa wale idara husika ndio team doroooo) iwe umelipa bill kimakosa,umetuma pesa kimakosa
 
nimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Si afadhali yako ni juzi tu,mimi toka tar20 June sh laki mbili na thelasini mpaka leo napewa majibu yasiyoleta la maana na hela haijarudi
 
Hivi kisheria haki ya mteja ni ipi kwa kupewa psychological toucher kama hii.
 
Mie imenitokea leo nafanya muhamala ukaenda sehemu nyingine nimewapigia wameniambia masaa 72,nimemahindi vipi sijaeleweka
 
Mie toka tarehe 24 juni, 2016 nilifanya muamala kwenda namba ya tigo. Ile pesa haijaenda ila salio langu lilipungua. Nimetoa taarifa mpk leo pesa haijarud.msaada tafadhal
 
nimetuma muamala toka tarehe 2 mwezi huu, mpk Leo pesa haijaingia kwenye akaunti. mmefanya sikukuu kwangu umekuwa chungu. Halotel hivi MNA halopesa?
Pole sana,but jina lako la bi nyakomba linanikumbusha kitambo sana wakati nikiwa standard four.Katika mtihani wetu wa kiingereza wa kupandia standard five tulikumbana na dictation which was about the story of nyakomba,actually i remember that day kijasho kilinitoka sana
 
Mpesa sucks... Poor customer service, poor support.... Aaah mi naitumia kwa dharura tu... Tena usiombe ununue luku.. Unaeza pata baada ya masiku.....
 
Mie imenitokea leo nafanya muhamala ukaenda sehemu nyingine nimewapigia wameniambia masaa 72,nimemahindi vipi sijaeleweka
Mwezi ujaooo... Wakati Tigo maranyingi hapo kwa hapo.. Na Sema MPEsa kutumia mwisho watakaporudisha muamala wangu sitawahi kutumia hzo huduma na nitafanya kaMpeni Familia yangu kwenye isitumie JUST SAY NO TO VODACOM M-PESA
 
Back
Top Bottom