Recent content by Mwl Razaq Mtele Malilo

  1. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Kwa matukio haya ya kuhatarisha usalama wa raia, Rais kama amri jeshi mkuu awajibishwe

    Kwa matukio haya ya utekaji mfano Roma Mkatoliki, kupotea kwa watu mfano Ben Saanane, vitisho ikiwemo kitendo cha kuoneshwa silaha (bunduki) kama kitisho kwa Nape na hadi sasa hakuna aliyefikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa matukio la Roma na Nape na sasa tumeshuhudia jaribio la mauaji la...
  2. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho Jumatano

    PRESS CONFERENCE: Kesho Tarehe 6/9/2017 saa 5 Asubuhi katika Ofisi ya Wabunge wa CUF, Magomeni -Dar es Salaam. THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) Kitazungumza na waandishi wa Habari kuelezea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini. Pia Wabunge 8 wa Viti Maalumu walioondolewa...
  3. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Tanzania needs a new constitution now

    Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwl Razaq Mtele Malilo

    BUNGENI, DODOMA: Wabunge 7 wa CUF waapishwa, UKAWA wasusa na kutoingia bungeni wakati wa kuapishwa

    Wabunge wa Lipumba wameakula kiapo Leo bungeni na sasa ni wabunge kamili. Wabunge waliofukuzwa wamefungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama kwa madai kuwa matakwa ya kikatiba ya CUF hayakufuatwa kufikia maamuzi hayo na pia kikao cha baraza kuu lililofanya maamuzi hayo kiliuzuliwa na...
  5. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Katiba ipi inaheshimu utawala wa kidemokrasia?

    Written by Mwl Razaq Mtele Malilo The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee. We certify Kenya propels into prodigious political change not for the...
  6. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Tanzania needs a new constitution now

    Written by Mwl Razaq Mtele Malilo The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee. We certify Kenya propels into prodigious political change not for the...
  7. Mwl Razaq Mtele Malilo

    WILL KENYATTA PROTECT HIS RESPECT?

    Written by Mwl Razaq Mtele Malilo. I termed Kenyatta as the father of democracy in East and Centra Africa, but now he starts to speak hocus pocus. Kenyatta must acquiesce the supreme court's decision though it is sturdiest judgement and cataclysmic event come to pass for him but the supreme...
  8. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la CUF (upande wa Maalim Seif) kuhusu ruzuku

    Updates From High Court: Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo...
  9. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF Lipumba yatambulisha Bodi mpya ya wadhamini, yadai kupata usajili RITA

    Kuna watu wananipigia simu kuniuliza kuhusu Tamko la Lipumba leo la kusajiriwa bodi yao ya Wadhamini. Kwanza nimekuwa bize na mitihani hapa chuoni sijapata muda wa kufuatilia kwa kina nini kinaendelea ila mimi msimamo wangu upo wazi kabisa. 1. Sijafikiria kukihama chama changu cha CUF 2...
  10. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Mwanafunzi wa DUCE mwanaCHADEMA atiwa mbaroni

    KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI. Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE. Joshua Mgallah kwa...
  11. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Kilichotokea uchaguzi wa DARUSO ni ishara kuwa CCM imechakaa

    KILICHOTOKEA UCHAGUZI WA DARUSO-MLIMANI (UDSM) NI ISHARA KUWA CCM IMECHAKAA Na Mwl Razaq Mtele Malilo Tarehe 20/4/2017 kulikuwa na uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (CKD) maarufu kama UDSM, uzinduzi uliofanyika katika viunga vya...
  12. Mwl Razaq Mtele Malilo

    Maalim Seif: Lipumba anatumika na Chama Tawala(CCM) kudhoofisha Upinzani

    KATIBU MKUU, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HOTELI YA RAMADA: ========= 11:30: Maalim anaanza kuzungumza Nimekuja kufichua mbinu chafu za Lipumba" Takriban wiki sasa nimekuwa na ziara ya kuimarisha chama Unguja na Pemba. ⁠⁠⁠Nimekatisha ziara ili kuja...
  13. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF weekly report

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF–Chama Cha Wananchi) THE DIRECTORATE OF INFORMATION, PUBLICITY AND PUBLIC RELATION P.O.BOX 10979 DAR ES SALAAM TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa leo Tarehe 13/3/2017 Na. Kurugenzi ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma-CUF Taifa MAPITIO YA...
  14. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF yaigaragaza CCM uchaguzi wa serikali za mitaa Lindi

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - Chama Cha Wananchi) Imeandaliwa na Mratibu wa Uchaguzi Manispaa ya Lindi ndugu Khasim Hassan Fundi MATOKEO KWA MITAA YOTE NI KAMA IFUATAVYO:- 1. Kata Mwenge waliojiandikisha ni 294 waliopiga kura 273 CUF KURA 136 CCM KURA 133 Tofauti kura 3 mtaa huu ulikuwa wa...
  15. Mwl Razaq Mtele Malilo

    CUF UDSM yatoa pongezi kwa ajili ya uchaguzi wa Lindi

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) JUMUIYA YA VIJANA (JUVICUF) CUF VYUO VIKUU TAWI LA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI-UDSM) PONGEZI NYINGI KWA WANALINDI, CUF NA UKAWA KWA UJUMLA CUF Chama Cha Wananchi tawi la Mlimani Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam tunayofuraha kubwa juu ya...
Back
Top Bottom