Katiba ipi inaheshimu utawala wa kidemokrasia?

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
2,194
2,512
Wanajamvi ningependa kufahamu kati ya katiba hizi 3 ipi inasimamia misingi ya kidemokrasia na inaheshimiwa na wafuasi wake
1. Katiba ya CCM
2. Katiba ya CHADEMA, na
3. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
A. Sheria mama INATOKA KATIBA ipi? Ya

1. CCM

2. CUF

3. CHADEMA

4. ACT WAZALENDO

5. Katiba ya jamhuri ya muungano wa TANZANIA

B. TUNAPASWA KUJADILI IPI KWANZA KATIKA HIZO?
 
1. Je wanaiheshimu?

2. Na waitii nakuifuata?
ndio maana nimeuliza
je waliopo serikalini wanatii hiyo katiba inawaoongoza au wanachadema wanaotaka katiba inayosimamia misingi ya Demokrasia yao inafanya hivyo?
 
ndio maana nimeuliza
je waliopo serikalini wanatii hiyo katiba inawaoongoza au wanachadema wanaotaka katiba inayosimamia misingi ya Demokrasia yao inafanya hivyo?

A. Ukiongelea wanachadema.....ACT WAZALENDO UNAWAWEKA WAPI?

B. CCM UNAWAWEKA WAPI?

Je Nisahihi kulinganisha katiba ya wote yaani ya Taifa na vikatiba vya vyama?
 
Kabisaaa tusipige kura

Hakuna sababu tunapanga foleni usiku wa manane halafu Kada eti jaji anajiwekea rais wake

Kisha hawataki wizi wao uhojiwe mahakani.... Haki ipo wapi?
 
1. Katiba mpya ya warioba

2. Tume huru ya uchaguzi sio ya makada wa ccm

3. Matokeo yahojiwe makamani kama haukidhi viwango

Hapo ndo nitapiga kura or else sipigi hata kwa risasi
 
Written by Mwl Razaq Mtele Malilo

The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee.

We certify Kenya propels into prodigious political change not for the Kenyatta's disposto as he feigns but because of gewillts of the people and laws.

I descry and souhait Tanzania veneers Kenya in fighting for a new constitution not for CCM, CUF or CHADEMA's bereits but because of the willens of the folk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
badala ya kushirikiana na Rais aliyekuwepo madarakani,

nyie mnafikiria kumtoa,

he is here to stay,mpaka kipindi chake kiishe

badala ya kuzama kwenye negativity,

muanze kuwa positive,na kutoa ushirikiano,

tukifanya hivyo,tutaona matokeo chanya and by the time anaachia office,tutakua tumepiga hatua
 
Back
Top Bottom