Tanzania needs a new constitution now

Sep 29, 2016
34
83
Written by Mwl Razaq Mtele Malilo

The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee.

We certify Kenya propels into prodigious political change not for the Kenyatta's disposto as he feigns but because of gewillts of the people and laws.

I descry and souhait Tanzania veneers Kenya in fighting for a new constitution not for CCM, CUF or CHADEMA's bereits but because of the willens of the folk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo mengine mnayaleta kwa makusudi..

Sasa lugha gani hii kwa mtanzania aliesoma shule zetu za kizalendo hapa kijijini chattle?

Kuwa mmungwana tuandikie lugha nyepesi kueleweka buanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Written by Mwl Razaq Mtele Malilo

The supreme court's verdict on annulling Kenyatta's winning was dextral in accordance of peeps' constitution and provided for the sake of shunning Kenya not to skydive into another melee.

We certify Kenya propels into prodigious political change not for the Kenyatta's disposto as he feigns but because of gewillts of the people and laws.

I descry and souhait Tanzania veneers Kenya in fighting for a new constitution not for CCM, CUF or CHADEMA's bereits but because of the willens of the folk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes, calling for new constitution would be my last and least concern. I would rather cry for endeavoring social integrity, values and ethics which stand for really patriotism than what you say new constitution!
Digest and cheers!
 
Under these circumstance we are in, how can you foster social integrity, values and ethics, and ensure long term of same without laying down a new framework in form of new constitution?
 
It is not that the constitution has no meaning at all but that, the elements that I mentioned need to be taken into much consideration, as they are of much significance regardless of what kind of a constitution you have. Be it old or new, social integrity, values and ethics play a key role to the prosperity of any society / nation.
Digest and cheers!
 
Under these circumstance we are in, how can you foster social integrity, values and ethics, and ensure long term of same without laying down a new framework in form of new constitution?
Tupo mfano kaka ni kwa jinsi gani katiba mpya imewasaidia wananchi wa Kenya kupambana na, ukabila uliokithiri, rushwa inayonuka, mauaji ya kiholela kati ya kabila za wafugaji kule Turkana, upungufu wa ardhi zilizotwaliwa na viongozi wao wa kisiasa na mabepari ya kizungu, pengo kati ya masikini na tajiri limeongezeka mara mbili zaidi baada ya kupata katiba mpya, upungufu wa ajira ndiyo balaa Kenya. ukiondoa wanasiasa ambao wanafaidika kwa kwenda mahakamani kupinga matokeo, nini zaidi katiba mpya imewasaidia wananchi wa kawaida?
 
Kuna mambo ya kujiuliza kuhusu mafanikio ya Kenya. Kwanza je katiba yao ndio bora? Katika maeneo yapi?

Ni ngumu sana kukupa mifano halisi kuhusu Kenya na katiba yao maana sijaifuatilia sana. Pia haiwezi kuwa ndiyo role model pekee ya katiba duniani hapa.

Hata hivyo, kama katiba ya Kenya inampa mwananchi uwezo na uhuru wa kuhoji uwajibikaji wa viongozi, kama katiba inatoa nafasi ya kuhoji matokeo ya uchaguzi, kama katiba inapunguza ulimmbikizaji wa madaraka kwa mtu au taasisi moja, kama katiba inaziba mianya ya rushwa na inaweza kushughulikia wala rushwa bila kujali nani yuko madarakani, then i will go for it.
Katiba mpya haiwezi kufanya kile ambacho wananchi hawajaandika. Kama katiba haikuandikwa ili kuzuia upungufu wa ardhi, haiwezi kufanya hiyo kazi.

At least katiba inayoendana na wakati inafanya wananchi waweze kudhibiti mambo badala ya mtu mmoja au kikundi kidogo kufanya hivyo. Ikitokea mtu mzuri amemaliza muhula wake madarakani halafu likaingia genge la wala rushwa, wakabila, wabaguzi na wazembe halafu katiba haiwezi kuwafunga break, basi ujue itakula kwetu
 
Katiba bora ni ile inayotoa ufumbuzi wa matatizo ya wananchi wa kawaida, hayo uliyoyataja ya kuhoji na mengineyo ni mambo ya kisiasa zaidi, matatizo makubwa yanayoikabili Kenya hayajawahi kuwa ni kushindwa kuhoji matokeo ya uchaguzi, wala sio kulimbikiza madaraka, wala siyo hayo mengine uliyosema, matatizo makubwa ya wananchi wa Kenya ni ukabila, rushwa, kukosekana kwa usalama, kutokuwepo kwa usawa wa kipato kati ya matajiri na masikini, ardhi kumilikiwa na wachache matajiri, na ukosefu wa ajira, yale ya kuhoji na mengine uliyosema, ni kipaumbele cha wanasiasa lakini sio wananchi wa kawaida.

Hakuna katiba yoyote hapa Africa inayoruhusu rushwa, ukabila,, kukosekana kwa usalama, ukosefu wa ajira au kufagilia kuwepo kwa tabaka la matajiri na masikini, katiba zote zinakataza mambo haya ambayo ndiyo vipaumbele vya wananchi wa kawaida, kinachokosekana ni uongozi bora, Kenya ni mfano mzuri sana, walililia sana katiba mpya wakidhani katiba ndiyo itakayopita maofisini kugundua vitendo vya rushwa au ukabila na kuvizuia, kumbe watu ndiyo muhimu zaidi kulikokatiba, kama huna viongozi bora hata uwe na katiba ya namna gani hakuna litakalofanyika

Leo hii Magufuli ameweza kupambana na rushwa, uzembe maofisini, kupunguza gap la wenye nacho na wasionacho, na kushughulikia yale mambo ya msingi kwa wananchi wa chini kuliko Uhuru Kenyatta ambaye anatumia katiba mpya.

Hakuna katiba mpya itakayoshinda Biblia na msahafau, leo niambie ni mangapi yaliyosemwa kwenye vitabu hivyo tunayatekeleza?, hatutekelezi kwa sababu hakuna mtu wa kusimamia utekelezaji wake, kama tumeshindwa kufuata maagizo ya dini, vipi tutafuata katiba mpya, tusiwe tunawasikiliza wanasiasa kwasababu utaona wanayopigia kelele ni kuwa na uhuru wa kuhoji matokeo ya urahisi mahakamani, kwa urais ni muhimu kuliko hayo yote niliyokutajia, muhimu ni kumpata kiongozi bora atakayesimamia katiba iliyopo kwanza, aifuate kama ilivyo, tukishaimaliza hii iliyopo tukiona inatuzuia kupanda maendeleo ya watu, sio maendeleo ya wanasiasa ndiyo tufikirie vinginevyo.
 
Kama hakuna uadilifu na uendanaji na miiko ya jamii (kwa jamii yenyewe na viongozi wao), hata kama jamii itashirikiana na malaika wa Mungu kuandaa katiba, hakuna chochote wala lolote. Mtabaki kulaumiana na kukabana makoo na kufungana na kuuana lakini yote yatakuwa batili!
Cha msingi ni kujiuliza, je, tunatumia vizuri kalamu zetu na karatasi zetu kwenye vyumba vya kupigia kura? Nini kinachotusukuma katika maamuzi yetu wakati wa kuwachagua viongozi wetu? Je ni kweli kwamba hatuna ufahamu juu ya nyendo za viongozi wetu kabla ya kuwachagua? Je, tunawapa viongozi wetu ushirikiano kiasi gani wakati wanapokuwa wanapigania maendeleo ya nchi? Je, ni wakati gani tunapotambua kwamba muda wa siasa za majukwaani umeisha na hivyo kutumia vyema muda wetu kwenye shughuli za kujiletea maendeleo? Au kwetu muda sio mali kama ilivyo kwa wale tunaosema ni mababa wa demokrasia (wazungu - kwani kwao uchaguzi ukiisha kinachobakibaki ni kazi tu)?
Tujitafakari!
 
Back
Top Bottom