Mwl Razaq Mtele Malilo
Member
- Sep 29, 2016
- 34
- 83
KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE