*THE CIVIC UNITED FRONT*
*(CUF - Chama Cha Wananchi)*
*Imeandaliwa na Mratibu wa Uchaguzi Manispaa ya Lindi ndugu Khasim Hassan Fundi*
*MATOKEO KWA MITAA YOTE NI KAMA IFUATAVYO:-*
1. *Kata Mwenge*
waliojiandikisha ni 294
waliopiga kura 273 CUF KURA 136 CCM KURA 133 Tofauti kura 3 mtaa huu ulikuwa wa CCM. Zilizoharibika 4.
2. *Kata ya Mitandi*
waliojiandikisha ni 255 waliopiga kura 214,
CUF KURA 136,
CCM 75,
Tofauti Kura 61, zilizoharibika 3.
3. *Kata ya Ndoro*
waliojiandikisha ni 329 waliopiga kura 216,
CUF KURA 121,
CCM KURA 95,
Tofauti Kura 26, Zilizoharibika 0.
4. *Kata ya Mingoyo*
waliojiandikisha ni 468, waliopiga kura 433,
CUF KURA 229,
CCM KURA 176,
Tofauti Kura 53, Zilizoharibika 28.
5. *Kata ya Jamhuri*
waliojiandikisha 303,
waliopiga kura 283,
CUF KURA 141,
CCM KURA 138,
Tofauti Kura 3,
zilizoharibika 4.
6. *Kata ya Tandangongoro*
waliojiandikisha 93 waliopiga kura 84
CUF KURA 50,
CCM KURA 34,
Tofauti Kura 16.
7. *Kata ya Nachingwea*
waliojiandikisha 362, waliopiga kura 332,
CUF KURA 189,
CCM KURA 142,
Tofauti kura 47,2, zilizoharibika kura 1.
*MAJINA YA WAGOMBEA NA KATA ZAO*
*Kata ya Mwenge mtaa*
Migombani mwenyekiti ni *Salma Ahmad*
*Makumbuchila. Kata ya Mitandi mtaa Mnubi*
mwenyekiti ni *Fatima Mussa Mbaruk.*
*Kata ya Ndoro mtaa wa Ndoro*
Juu mwenyekiti *Mzee Mwalim Bao.*
*Kata ya Mingoyo mtaa wa Rahaleo "B"*
mwenyekiti *Shaibu Athumani Mwinzagu.*
*Kata ya Jamhuri mtaa Tulieni*
mwenyekiti *Fadhili Makwangu.*
*Kata ya Tandangongoro mtaa wa Narunyu*
mwenyekiti *Rashid Saidi Lichana.*
*Kata ya Nachingwea mtaa Sabasaba*
mwenyekiti *Hamza Hamisi Moa.*
Nawashuku wote mliochangia ushindi kwa hali na mali na tunawaomba tuendelee kushirikiana kukijenga chama chetu dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Lindi ipo salama hatuna mpango na Bwana yule *(Prof Bashite)*
*CUF TAASISI IMARA*
*HAKI SAWA KWA WOTE*
*Imeandaliwa na Khasim Hassan Fundi*
*Mratibu wa uchaguzi Lindi Mjini*