Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la CUF (upande wa Maalim Seif) kuhusu ruzuku

mkaruka ataja rinu

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,366
2,000
Hv kweli mahakimu na majaji hawaoni kabsa lipumba anataka kuivuruga cuf,, hv hata hao wanaomuunga mkono lipumba kweli uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawaoni kabsa lipumba anafanya kaz ya ccm,
Hapo ni sheria tu ndo zinafanya kazi na siyo mihemko...!!!
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,063
2,000
Kutoka Mahakamani.

Mahakama imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na CUF Maalim Seif ya kutaka CUF Lipumba wasipewe RUZUKU.

=====

Updates From High Court:

Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.

Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.

Hivi mawakili huwa mnakimbilia wapi? Pesa si mtalipwa tu?
Fanyeni "through research" kabla ya kwenda mahakamani bwana.
 
mkaruka ataja rinu

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,366
2,000
Sheria si kitu cha mchezo mchezo, Uprofesa wa Lipumba ni wa kukaa darasani siyo kama ule wa Maji Marefu. Maalim asijilinganishe na Lipumba hata siku moja na amekuwa akitaka kutumia udhaifu wa watu wasiofikiri sawasawa ili kupata Political Cheap Popularity..!!
 
R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,298
2,000
Hata mimi nisiyekuwa mwanasheria nilijua Maalim na kundi lake wangepigwa. Lipumba na wenzie walishamzidi kimkakati mapema sana. Maalim alikosea jambo moja tu, kuchelewa kuridhia kujiuzulu kwa Lipumba. Kuna methali ya kiingereza "strike the iron when it is hot". Maalim alichelewa.
Hata kwenye boxing sisi wadau wa mchezo huo tunajua. Ukimpa mpinzani wako upper cut moja akapepesuka, usimsubiri aka-recover. Anaweza akaibuka akakutoa. Ukishaona amepepesuka unaongeza za mfululizo hapohapo hadi knock-out. Lipumba alipojiuzulu, wangejaza nafasi immediately kwa utaratibu rasmi wa kikatiba. Walikosea hapo, sasa wanapata malipo yake.

KUMBUKA KAMA WANGEMTIMUA

DR SLAAA na LIPUMBA wangeungana na ZITTO kupitia ACT WAZALENDO VS CHADEMA YA MBOWE na LOWASSA
Huoni CHADEMA ingekufa kifo cha mende ndembendembe kifo cha mende Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

njia ya kuepusha zaama ilibidi wamuweke kipolo ; madhara si makubwa kwa CHADEMA labda kwa CUF ; Hii ni turufu kwa CHADEMA ; tUNGEKUWA TUSHAISAHAHU chadema

upload_2017-8-11_16-51-16.jpeg
v s
upload_2017-8-11_16-51-46.jpeg
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,682
2,000
KUMBUKA KAMA WANGEMTIMUA

DR SLAAA na LIPUMBA wangeungana na ZITTO kupitia ACT WAZALENDO VS CHADEMA YA MBOWE na LOWASSA
Huoni CHADEMA ingekufa kifo cha mende ndembendembe kifo cha mende Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

njia ya kuepusha zaama ilibidi wamuweke kipolo ; madhara si makubwa kwa CHADEMA labda kwa CUF ; Hii ni turufu kwa CHADEMA ; tUNGEKUWA TUSHAISAHAHU chadema

View attachment 563372 v s View attachment 563373
Siyo kweli maana watu walikuwa washakuwa manipulated, wamelewa PESA za Lowassa na hakuna aliyekuwa anawasikiliza kina Lipumba na Slaa
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,561
2,000
Hivi kama SSIT ipo kila sehemu na wana mkuu wao, je hao wa mahakamani hakuna SSIT wanaopokea maagizo kutoka kwa mkuu huyo? SSIT nimeiandika kwa mpangilio wa Kifaransa kama vile NATIONS UNIES kwa maana ya United Nations.
 
Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,180
2,000
"Maagizo kutoka juu" wapi? Mbona hakukuwa na maagizo kwenye kesi ya Rwakatare? Mmeambiwa kuna kifungu cha kisheria kimekosewa, na mawakili watakirekebisha na kufungua kesi upya. Mnalaumu siasa ilhali nanyi kila jambo mwaliangalia kwa jicho la kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,682
2,000
KUMBUKA KAMA WANGEMTIMUA

DR SLAAA na LIPUMBA wangeungana na ZITTO kupitia ACT WAZALENDO VS CHADEMA YA MBOWE na LOWASSA
Huoni CHADEMA ingekufa kifo cha mende ndembendembe kifo cha mende Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

njia ya kuepusha zaama ilibidi wamuweke kipolo ; madhara si makubwa kwa CHADEMA labda kwa CUF ; Hii ni turufu kwa CHADEMA ; tUNGEKUWA TUSHAISAHAHU chadema

View attachment 563372 v s View attachment 563373
Siyo kweli maana watu walikuwa washakuwa manipulated, wamelewa PESA za Lowassa na hakuna aliyekuwa anawasikiliza kina Lipumba na Slaa
 
isk

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
441
250
Naamini walio wengi humu jf ni waapenda mabadiliko ila kwa bahati mbaya wengi wao hawajui mabadiliko gani wanataka kama leo tunaweza kumsema jpm anakanyaga katiba kwa kuzuia mikutano ya wapinzani na mapovu yanatutoka kwa jpm kukiuka katiba lakini tukirudi kwenye vyama vyetu viongozi ndio wa kwanza kukanyaga katiba za vyama vyao na sisi wafuasi wao tunawaunga mkono sasa sisi ni wapinzani au wakinzani sefu aliikanyaga katiba ya chama chake kwa mda mlefu sasa dhambi imemrudia yumpinge kila anaye kanyaga katiba iwe ya. Nchi ziwe za vyama tuache ushabiki wa kijinga

Sent from my C2305 using JamiiForums mobile app
 
tebweta

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
206
250
Kuna mtu humu bado anatapatapa eti kesi tunakwenda kufile upya siku ya j,tatu
Kilichowaangusha team Seif
~kwanza wamefungua kesi kwa kutumia bodi mfu , bodi iliyomaliza muda wake toka 2015

Pili ~ wamefile mlalamikaji ni Maalim Seif wakati kwa mujibu wa katiba ya cuf
Wenye mamlaka ya kufungua kesi ni bodi pekee

Wanachokifanya sasa team Seif ni kuwalisha wafuwasi wao Matango pori ili waishi kwa matumaini kwa sababu pesa za kufungulia kesi kuna watu wanachangishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sep 29, 2016
34
125
Updates From High Court:

Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.

Katika Pingamizi lililowekwa na Msajili Jaji Francis Mutungi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mapingamizi mawili yamekataliwa :

1. Kuhusu uhalali wa Bodi ya Wadhamini ya CUF kufungua shauri hilo.
2. Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif kusaini hati za kiapo.

Mapingamizi hayo wawili yamekataliwa na Mahakama kwa hoja kuwa sio hoja za kisheria (Point of Law)

Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.

Maamuzi hayo yamezingatia maamuzi mbalimbali ya maamuzi ya Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu.

Taarifa zaidi tutawajulisha.

Maharagande
NMHUMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom