Recent content by Mwizukulu jilala

  1. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu

    Hawa watu wanaridhika na maendeleo kiduchu sana....subwoofer ya laki na themanini anawasha kwa sauti ya juu na kuona ameyapatia maisha.....astaghfilulah!
  2. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Kumfanya mtu atabasamu nayo pia ni sadaka...
  3. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

    Alhamdulilah
  4. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Hii kitu kweli au ni utapeli naomba anayejua anijuze

    Kimbia wewe
  5. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Kuiba sadaka msikitini... Nina imani Mungu alishanisamehe.
  6. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Wacha aburuzwe na wewe ukitaka buruza....huwa hawaambiliki hao mpaka yawakute...
  7. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Kuna hali fulani ya unyonge imetawala, sijui kwanini hata

    Mzee wa Pwani alipona busha?
  8. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Zero mlizozipata darasani zinawafata mpaka kwenye maisha ya kawaida
  9. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

    nivea for men (cool kick)
  10. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

    Harufu ya dar ni harufu ya upenuni...
  11. Mwizukulu jilala

    JamiiForums Tanzania Stukaaa vyakula vya mtaani

    nyama ya mbwa inachanganywa na nyama ya mbuzi
Back
Top Bottom