Stukaaa vyakula vya mtaani

Stukaaa vyakula vya mtaani

Sikwambii usafi wa hizo chupa za chai na maziwa hazijawahi funguliwa kusafishwa wakati zinalowekwa kwenye beseni la maji ya kuoshea vyombo.😜
 
Wakuu Mambo vip!ebanaa Leo nimeona tustuanee na kuchukua tahadhari ya baadhi ya sehemu tunazo kulaa hasa mama Lise huko kwenye miangaiko yetu. Ni hivi unaweza kwenda kwa mamalishe ukaagiza chai yamaziwaa....sanukaa siku hizi wanachanganya na maji ya mchele,maziwaa kidogo plus maji ya mchele tiyari chai ya maziwa mzee. Usanuke mafuta yakula ya mekuwa ghali,kupunguza ukali wa maisha Kuna mafuta ya nguruwee ndo mbadala kwa Sasa kwa wauza chips wengi mjini. Sanuka,zile kachumbari unazokulaa ukazani wanatengeneza na nyanyaa nzuri mzee umefelii zilee nimasharooo wanaenda sokoni kununua manyanya mabovu.....tuwe waangalifu tunapo enda kulaa huko mtaani.na wewe jazia zako
Dah hapo kwenye chai maziwa tumeliwa sana aisee
 
Kazimoto ni nouma na nusu
Kwa walee wa kazi wa mwanza wanajua habari ya huyuu mduduu pale Sinai....Ila sijui kwani asilimia 90 Kama sio 95 huyuu mdudu mazigira anayotengenezewa Ni machafuuu na wanaa ndo unakuta wanakwambia kazimoto ya hapoo Ni tamuu balaaaa.....Ni kwanini
 
Ogopa sana kula kwa mama lishe mwenye mtoto changaa ambae anashindwa nae kijiweni,kuna mmoja nilimuona ametoka kumchambisha mtoto walaaaah hakunawa mikono na sabuni akaja kukata nyamaa
Hahahaha Lakini Mkuu ile nyama si inaiva tu aina neno
 
Kama ndio hivyo basi hizo Nyanya waweke pilipili nyingi na limau.
 
kiujuml kula vyakula mitaan ni mtihan bora kul mihog ya kuchom au kuchemsh unanunua na pakt yako ya mtind
ukirud nyumbn unakul chskul fresh
 
kiujuml kula vyakula mitaan ni mtihan bora kul mihog ya kuchom au kuchemsh unanunua na pakt yako ya mtind
ukirud nyumbn unakul chskul fresh
Unachosemaa nakubaliana na wewe asilimia
 
Maji ya kusuuzia sahani na vijiko ni hayohayo asubuhi mpaka usiku. La msingi we hakikisha chakula ni cha moto mengine Mungu anatulinda tu.
 
Uongo mtupu ni ugali tu ndo wanapikia maji ya kuoshea vyombo, akiwa anapakua chakula kama sahani ina maji maji anafutia khanga yake ambayo ndo hiyo hiyo anafutia jasho, na Mara nyingi jasho huo inadondoka kwenye mchuzi.
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom