Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
428
Reaction score
604
Habari ndugu jamaa na marafiki.

Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi?

Naomba msaada.
 
Back
Top Bottom