Hii kitu kweli au ni utapeli naomba anayejua anijuze

Munari

Member
Jun 17, 2021
55
70
Salaam wana jf
Nimekuta kwa email yangu upande wa "spam" nimetumiwa ujumbe wa kushinda pesa (paund GB) hizo halafu ikinielekeza kuzidai kwa kutoa maelezo binafsi na details za kibenki nk
Angalia picha attached chiniView attachment 1937684
Screenshot_20210914-193926_Chrome.jpg
View attachment 1937685View attachment 1937687
 
Ukicalculate hio €500,000 kibongobongo utagundua kama ni utapeli au lah.
 
Hao ni wazee wa Igweeeeeeee
I tired to iti kassava endi wotaa
Hey papa i use social media to trap ignorance from different part in Afrika in order to get rich and too much money like Hashipapi
And then to get ticket fly to Dubai to see skycripers and drinking wine and sweet Anjelina!

(In Naigerian english mixed with Igbo mothertongue voices)

Utapigwaaaaaaaaaaaaaa!
 
Wahuni hao jombaa tembea nao kuna sehemu watafika watahitaji details zako nyingine afu ikifika hatua ya kutoa mpunga watakwambia umewekwa kwenye account flani au kuna agent atakuja nazo ila watakwambia mambo ya clearance fee wanaweza ata kutumia hadi vyeti vya kijinga kama ukiwapa ushirikiano

All in all ni matapeli tu
 
Kweli kabisa niliwahi fika huko hatua hizo ndiyo maana nimeleta humu tujuzane maana hawa jamaa hatare sana
 
Back
Top Bottom