Recent content by Mwitakesowani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    H Habari Je Umefanikiwa tiba. Nina mdogo wangu anatatizo kama Lako Naomba kujua Kama Umefanikiwa utujuze twende wapi my namba 0786855280
  2. M

    JamiiForums Tanzania TUITION TUITION TUITION

    KARIBU TUITION TEGETA NYUKI TUNAFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI PHYSICS MATHEMATICS CHEMISTRY KWA WANAFUNZI KUANZIA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA SITA PIA HOME TUITION TUNATOA KWA MAELEWANO MAALUMU. KWA MAWASILIANO TUMA UJUMBE KWENYE NAMBA 0786855280
  3. M

    JamiiForums Tanzania KUIBIWA VIPULI VYA GARI CARINA

    Salaam Wakuu.... Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije kukutwa na yaliyonipata.. Vifaa walivyoiba ni side mirror,power window na taa za nyuma, vifaa vyote...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mimba mabadiliko unaanza kuyasikia mwilini baada ya muda gani?

    Siku hiyo hiyo utahisi mabadiliko,
  5. M

    JamiiForums Tanzania True story: Kila msichana nikitaka ku date naye nahisi ana UKIMWI

    Kuwa na mmoja aliyemwaminifu by the way si unamke wewe. Wasalimie Mafinga. Piga kazi acha michepuko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    tumia kiswahili her own business ndo nini khaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

    Nipo Dar nahitaji mayai ya kanga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

    Mkuu kwa dar naweza pata alovera wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki amkingia kifua waziri mkuu, aongeza muda wa uhakiki NIDA

    Vuta subira zoez linaweza kukamilika october na kukamilika kwa zoez hakuna uhakika wa hayo uyaombayo cha msingi nikuwa na subira na kumuomba sana MUNGU
  10. M

    JamiiForums Tanzania Press kuhoji utolewaji wa ajira mpya. 15-10-2016.

    Duuuh. Sababu ya kuhoji ni nini maana ajira zitatoka baada ya zoez la uhakiki kuisha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kunifundishia mtoto wangu nyumbani

    Sio ujanja nauwezo wa masomo matatu physics chemistry na math
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kunifundishia mtoto wangu nyumbani

    Kama upo serious nicheki kwa 0786855280
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Source Mimi mwenyewe nabahatisha ikifika october tunajipa moyo november n.k
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Mabadiliko ya salary tusubiri october
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Okay poa
Back
Top Bottom