Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

Asubuh ukiwa unawawekea chakula ni muda mzuri..wape kwa week mfululiz0 baadae uwe unawawekea at least mara mbili kwa week.kata vidogo dogo ili waweze kuvimeza.
Na viroboto natumia nn na dawa kama ya kununua ni kiasi gani
 
Mi nipo Singida huku niko nimeanzisha ufugaji wa kuku kanga na bata. Kama ujuavyo huku kuku wanapatikana kwa wingi kama utahitaji majike naweza kukutafutia pia nikakuletea kibiashara. Nipm ukiwa na interest nikutafute
Me naitaji kanga wanapatikana na bei gan
 
Na viroboto natumia nn na dawa kama ya kununua ni kiasi gani
Nunua Akheri powder, kuku Wakiwa bandani wakung'utie hiyo dawa. Lakini hakikisha banda lako ni safi, yaani umefagia vizuri na kavu Ndio unyunyize hiyo dawa
 
Nunua Akheri powder, kuku Wakiwa bandani wakung'utie hiyo dawa. Lakini hakikisha banda lako ni safi, yaani umefagia vizuri na kavu Ndio unyunyize hiyo dawa
Ahsantee mkuu nilifanya hivyo ingawa dawa niliweka kidogo nmefanikiwa wamepunguza kujikuna kesho nitafanya michakato niweke nyingi zaidi ahsantee kwa ushauri wako
 
WAPO MKUU, tena tetea na jogoo wa uhakika unafksha bandan unaanza subiri mayai siyo kulea 0764726071 AU 0624078252 NICHEK HATA LEO MAANA LEO NDO NMEKWENDA CHUKUA ODA SHAMBA KWNG
Sawa
 
Hiyo ni new castle anko,hapo ulipowapa chanjo ndiyo umeichochea angalia usije ukalia tu.Kuku wanatakiwa wachanjwe mwezi mmoja kabla ya mlipuko wa magonjwa hasa new castle(kuanzia mwezi wa nane) usinunue tena kuku wasiochanjwa kutoka kwa vyanzo usivyovifahamu.Wahi jaribu kuwapa hao kuku vetoxy~02 kwanza.
Asanten kwa ushaur baada ya kutumia dawa hali imetulia,na matetea 3 wameanza taga kwa siku1 nasikia faraja nilitaka kata tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom