Recent content by mwita wamkanga

  1. mwita wamkanga

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Nathan Jr, Ukiachana na swala la udom kuwa na mitihani rahisi lakini ufaulu mzuri wa advance au olevel sio kigezo cha kafanya upate first class chuo. Angalia petroleum engineering pale udsm watu wanakuja na division one za maana lakini mwisho wa siku hawatoboi kirahisi wanaanza 20 wanagraduate...
  2. mwita wamkanga

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kabisa gomez anatuangusha
  3. mwita wamkanga

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Walker ndo kaonesha beki nini anatakiwa afanye.
  4. mwita wamkanga

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Well said aise salah kaplay vzr sema bahat. Ila hernderson anazngua sana na zile substitutions ndo zilileta uhai mkubwa
  5. mwita wamkanga

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Yani leo nimefumbuliwa macho na nimeijua nyota yangu yani sifa zote ni zile nilizonazo
  6. mwita wamkanga

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    The real meaning of "you will never walk alone"
  7. mwita wamkanga

    CHADEMA sasa kumekucha

    Nimekuelewa mkuu
  8. mwita wamkanga

    CHADEMA sasa kumekucha

    Ukiachana na majengo kuna swali linanitatiza sijapata jibu hivi kwanini kwa kipindi hichi wafuasi wa chadema wanahama sana kuhamia ccm? Na bado unasema mpo vizuri?
  9. mwita wamkanga

    Huyu ndiye Mwanamke wa Kuoa, ila sijui kama Tanzania yupo...

    Nlkuwa sjasoma mengine kumbe ni dunia ya kufirika
  10. mwita wamkanga

    Nimemeza tunda ya Ubuyu. Je, kuna madhara nitayapata?

    Hakuna madhara ila utapata tabu kwrnye haja kubwa hapo [emoji23]
Back
Top Bottom